lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Bado post 7 tu
Hapana shemeji, najua bro atafurahi kuona nimekusaidia kuzima taa.Utachezea hii![]()
Hahaha.Bado post 7 tu
Tuendelee babeBado post 7 tu
Shauri yakoHapana shemeji, najua bro atafurahi kuona nimekusaidia kuzima taa.
Kama kweli unampenda Shem wako mwache atupie hiyo 23kHahaha.
Kijana una hasira.
Amechoka.Tuendelee babe
Hawezi kuchoka kirahisi hvyoAmechoka.
Ila usijali mimi nipo kwaajili yako.
Atupie tu,nimempa.Kama kweli unampenda Shem wako mwache atupie hiyo 23k

Huyu MTU anataka sifa sasa. Ya 23k ametupia yeyeTuendelee babe
Hapo anaskia rahaaaHuyu MTU anataka sifa sasa. Ya 23k ametupia yeye
Huna lolote weweAtupie tu,nimempa.![]()
![]()
![]()
![]()
Unaskia raha hapo basi23000
Usijali shemeji utatupia ya 24kHapo anaskia rahaaa
Mwache tu babyHapo anaskia rahaaa
Mpka ifike nitakuwa nimelala na kaka yako.Usijali shemeji utatupia ya 24k