Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Nifanyaje mke mwee mtu ameshaamua kuingia akuvunjie ndoa yako unamkubali vipii na kumpenda na kumfurahia
Nifanyaje mke mwee mtu ameshaamua kuingia akuvunjie ndoa yako unamkubali vipii na kumpenda na kumfurahia
Mr Lee nipo ila akili yangu haiko poaNakuonaaa
Hivi hujapelekwa tu kwenye shanga
inawezekana huyu alokuja ndo mvaa 700BabyKatulia zaidi ujuavyo
Polee ...kunywaa maji mengiii mkuuMr Lee nipo ila akili yangu haiko poa
Asante kwa uzimaNzuri mwaya
Mie nakupenda zaidi ujue mdogo wangu wa darNakupenda ujue
Nawatamani jaman ebu nijivutie shuka mieBaby
Nipeleke kitandani nkalale mie
Najua dadaMie nakupenda zaidi ujue mdogo wangu wa dar

Nini shida Mndali jamani... Au ni hiyo baiskeli imegoma kabisaa kutoka kwenye huo mti????Mr Lee nipo ila akili yangu haiko poa
YesJapo wewe haumo kwenye list
Asante mkuu kwa kunishaurPolee ...kunywaa maji mengiii mkuu
Usijali dadangu nimeona niwe napita tu maana akili yangu haiko sawa
Kwani kasema anataka kuwa mweupeePolee ...kunywaa maji mengiii mkuu
Umetumiwa wewe! Mimi nimesikiliza tu nilikuwa napita hapa kwenye kichochoro chenu. Muwe mnafunga madirisha basi, japo muweke pazia, yaani chumba chumba mnakiacha wazi kama hotel ya babantilie, pazia mgongo?

Muziki: Kwanini Usifurahi
Sijui kama anitachoka kusema kuwa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa ya kuianza siku, kuiishi na kuimaliza. Ni mahali pazuri ambapo tunajifunza na kufundishana, kufurahi bila kukufuru na ambako kila mmoja mawazo yake yanaheshimiwa, utapata sehemu gani nyingine. With this I mean this is a not a perfect forum but the great one. Nimeongeza mbwembwe kidogo si mnajua kila mtu JF kasoma UD na anakaa au alishafika Dar! mimi nina anko wangu Dar huwa ananipa habari sijui za Salenda briji, kama hulijui sio dhambi, angalau nimekueleza lipo.
Ni vizuri kuianza siku kwa furaha na hasa siku yenyewe inapokuwa ni Jumatatu, hii huwa ni siku ngumu sana maana ni siku ya kazi/shule/shamba na yote tusiyoyapenda.
Muziki sasa, usije ukadhani kuwa utamu wa muziki na gitaa huwa hauthamini nyimbo za vijana wa jana na wa leo (generation Y- millennials). Leo tutaangalia muziki wa jana na sitaongea mengi maana wimbo wenyewe unajieleza kwa ujumbe na sauti nzuri
Karibu maana uwepo wako hapa hulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee na kuwafanya watu wadhani linakimbizana na majukwaa mengine kumbe katu halifanyi hivyo, utakimbizana vipi kama hayupo wa kukimbizana naye.
Kipi kinakufanya usifurahi unapotembelea hapa? Sijauliza swali, nimetoa maelezo ya swali, maelezo ya majibu kaa nayo
HayaAsante kwa uzima