Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Kweli kabisa maisha lazima yaendelee
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Kweli kabisa maisha lazima yaendelee
Tutaonanaa keshooMuwe na usiku mwema jamaan Damu ya Yesu iwalinde usiku wote [emoji120] panapo majaaliwa kesho jamaan shunii anawapenda munooooo
Na kila mtu JF anajifanya mkubwa kiumri hata km ana miaka 15 utamsikia Watoto rudini Facebook....Vijana wa siku hizi hamna akili kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo kali asee..[emoji2] [emoji2] [emoji2]
AmenMuwe na usiku mwema jamaan Damu ya Yesu iwalinde usiku wote [emoji120] panapo majaaliwa kesho jamaan shunii anawapenda munooooo
Baba D Mungu akulinde ulipo ila jua tu sipendii jamaanTutaonanaa keshoo
Hayakuhusummmmh! Mnalala gizani, 😵, hamjafanya uswafi?
Wewe na mimi mfuga batabasi masikini peke yangu humu jf
Usijali Mndali...Amen nashukuru kwa ushaur sakayo
Samahani mkuuNini wewe
Baby...Baby
Nipeleke kitandani nkalale mie
Mi naishi zangu mabondeni huku jamaan [emoji23] [emoji23] basi masikini tunahesabika humuWewe na mimi mfuga bata
Wengine wote wanaishi Masakibezi Beach na sehemu nyingine za kishua
Mi naishi Mabibo Mabwawa 7 halafu kuna wengine wapo Marekani ila chati na muda wanaoingia Jf haupo Kimarekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Nawe pia mamyMuwe na usiku mwema jamaan Damu ya Yesu iwalinde usiku wote [emoji120] panapo majaaliwa kesho jamaan shunii anawapenda munooooo
Pole shemNawatamani jaman ebu nijivutie shuka mie
Mtaalamu mwenyewe[emoji119] [emoji119]Umenunua kwa wagogo au wamasai, mmana kuna nyingine huwa zinakatika kiurahisi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha!! Haya mkuu
Tuondoke hunieBaby...
Nataka nikubebe tukalale..
Kama vipi..?Usijal dingimtoto utapata na wewe au nyakua tu wa watu kama unaweza
Daah! Mnaenda kulana kweli?Ok kipenzi. Zima taa! [emoji8] [emoji8]