Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,394
- 6,562
Mmmmh











Twendee mama..Tuondoke hunie


kaah.....yaani anko msiachiane kabisa. Ukiamua kitu hayupo wa kupinga maana wewe ni mjomba wangu nakuunga mkono

AmenUsijali Mndali...
Mungu akutunze
Ooh kumbee maslahi ya muda mfupiii basi binamu hakuendekiii kwa mama mchuchu

Ongea taratibu basiiiTwendee mama..
Ila sio kwa hips hizoo !kaah..
Mashalaaaah
Muziki: Kwanini Usifurahi
Sijui kama anitachoka kusema kuwa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa ya kuianza siku, kuiishi na kuimaliza. Ni mahali pazuri ambapo tunajifunza na kufundishana, kufurahi bila kukufuru na ambako kila mmoja mawazo yake yanaheshimiwa, utapata sehemu gani nyingine. With this I mean this is a not a perfect forum but the great one. Nimeongeza mbwembwe kidogo si mnajua kila mtu JF kasoma UD na anakaa au alishafika Dar! mimi nina anko wangu Dar huwa ananipa habari sijui za Salenda briji, kama hulijui sio dhambi, angalau nimekueleza lipo.
Ni vizuri kuianza siku kwa furaha na hasa siku yenyewe inapokuwa ni Jumatatu, hii huwa ni siku ngumu sana maana ni siku ya kazi/shule/shamba na yote tusiyoyapenda.
Muziki sasa, usije ukadhani kuwa utamu wa muziki na gitaa huwa hauthamini nyimbo za vijana wa jana na wa leo (generation Y- millennials). Leo tutaangalia muziki wa jana na sitaongea mengi maana wimbo wenyewe unajieleza kwa ujumbe na sauti nzuri
Karibu maana uwepo wako hapa hulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee na kuwafanya watu wadhani linakimbizana na majukwaa mengine kumbe katu halifanyi hivyo, utakimbizana vipi kama hayupo wa kukimbizana naye.
Kipi kinakufanya usifurahi unapotembelea hapa? Sijauliza swali, nimetoa maelezo ya swali, maelezo ya majibu kaa nayo
Twende baasi jamaniKama vipi..?
![]()
![]()
![]()
HahahaDaah! Mnaenda kulana kweli?
Karibu upige chabo!Daah! Mnaenda kulana kweli?
Eeeh! Mimi sijapenda kuongea ila tuu nimetoa ya moyoni..Ongea taratibu basiii
Au Unataka watu wanune
Twende chumbani bhanaEeeh! Mimi sijapenda kuongea ila tuu nimetoa ya moyoni..
Yaani naona tuu kitu...! Curved...!
Yoooola!!
Hadi tunaingiwa hofuAhahh hamna basi tu jamaan
Nawe pia sakayoJamaniiii
Muwe na usiku mwema wote humu ndani....
Nawapenda mnoo ila namzimia handsome wangu tuu Mr T...
Bitoz jiandae, kesho kupasha asubuhi...
Sio kuhesabika tu bali hatuonekani kabisa hadi tutafutwe kwa tochiMi naishi zangu mabondeni huku jamaan![]()
basi masikini tunahesabika humu
Achana naeee ...tuliaa tuuKaribu upige chabo!
