Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Haya mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha!! Haya mkuu
Umesemaa weweKwani kasema anataka kuwa mweupee
Ahahhah kweli dada na baridi hili acha tu Mungu mwenyewe anajuaHahaha
Nacheka ka mazuri vile
Baby tulaleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha!! Haya mkuu
Umeachwaaa ???Hapana sakayo kuna mambo yangu hayaja kaa vizuri
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nishamsalimia, anakusalimia pia. Unataka nirejeshe salamu? maana salamu ni nusu ya kuonana na sio kuoana
Pamoja mkuuUpumzikee
Sawa mbona unanifukuza nilale salama binamuAsante kushukuru aunt yangu. Ulale salama
Mzee wa saa mpya naona umeamua kunitoa akili kabisa
Poleee ...Aisee mnatuweka roho siwe ambao tupo alone pandee hii[emoji17]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kigamboniiii hakuendekiiiii
Usijali Mndali.. Sisi huwa tunapanga ila mpangaji wa yote ni Mungu...Hapana sakayo kuna mambo yangu hayaja kaa vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa saa mpya naona umeamua kunitoa akili kabisa
Ukimanishaa nnUsijal dingimtoto utapata na wewe au nyakua tu wa watu kama unaweza
AiseeeeAisee mnatuweka roho siwe ambao tupo alone pandee hii[emoji17]
Kuachwa ni sehemu ya maisha ya vijana ila mi hilo huwa halinipi shida hata siku mojaUmeachwaaa ???
Anyakue tu kama anaweza jaman kama wengine wanavyokuja kujinyakulia waume zetuUkimanishaa nn
[emoji134] [emoji134] ndo wa tukuyu huyuBhinamu pole
Naomba nikutambulishe kama tulivopanga najua ulikuwa unamficha shunie lakin leo yametimiaa ...
Demi aunt yako mdogo...
Na kuonesha usiliasii ile lain ya zain nimeivunjaa sitaki kutafutwaa...waambie kaendaa msitunii kuchoma mkaa
AsanteNashukuru kushukuru. Usiku mwema