Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
WarereeeMie sio mke mwenzako jamaan we kama umeamua kuingia ingia tu
WarereeeMie sio mke mwenzako jamaan we kama umeamua kuingia ingia tu
Mi hata uongeze watatu...nakupenda tu!
Sio kwangu siwezi we umeshaamua kuingia na unajua ndoa ya watu mitala siweziTaratibu utazoea. Usimuache..anakupenda ujue!
Futaaaaaaaa nipo nyuma yakoNaweza kufuta huu uzi ujue
Namjua wapi mie dadaHuyo mkewe yupoje kwanza
UnajuaKwa ubaya wangu nn
Bhinamu poleHa hahahahah, anko bhana, ukiongelea msala sasa hapo ndo balaa. Yaani anko kwako sio msala ni misala yaani wingi wake.
Nami natambua uwepo wako anko. Natumaini uko salama kabisa na kila kitu kimeenda poa kabisa.
upande wangu, ndo kama hivyo, yaani niko kama beki wa kushoto, napanda na kushuka kama ....
WakachaaaaaaWarereee
KabisaaNimekupenda dada hata kama anaonyesha aonyeshe mbaliiiii huoni
Najuaa kesho utakuwa poa ...suprise imekusupriseeKwangu hakunaga hiyo
Mmmmmh nan kaziletaaa![]()
![]()
![]()
shemela ebu niache jaman ninazo hapa 700
![]()
Akameze nananasiii...Kwa hiyo mm ni nani kwakooo
Ujue mm kidume na mheshimianee
Kanyee ndimuToka hapa
AaahLee sipendi utani ujue
Safar hipo kwelii ??...please, tunajiandaa na safari ya Kigamboni tafadhari usianze hizi mambo.
...atapelekwa saa ngapi wakati mjomba alikuwa Tukuyu?
Bhinamu pole
Naomba nikutambulishe kama tulivopanga najua ulikuwa unamficha shunie lakin leo yametimiaa ...
Demi aunt yako mdogo...
Na kuonesha usiliasii ile lain ya zain nimeivunjaa sitaki kutafutwaa...waambie kaendaa msitunii kuchoma mkaa
Hahaha![]()
![]()
na wote wana magari na mijumba woiiiiiii na sie tunaokaa kwenye chumba kimoja kweli mie na we dada ndio masikini