shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ndio ruksa hivyoKwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Ndio ruksa hivyoKwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Toka hapaSasa nyinyi ndo mnataka nimchokee ....
Sema demi sio kibonge kama yeyeItakuwa wewe na Lee
Nimekupenda dada hata kama anaonyesha aonyeshe mbaliiiii huoniMume wangu sio wa kuonyesha naniliu yake kwa kila mwanamke
AiseeMe najuaje dada angu nimesema niingie jf bada ya kuletewa simu nakutana nayo haya bada ya kumaliza tu kuchat na wewe
Hivi hujapelekwa tu kwenye shanga
SijaonaOngezeaa pedesheee mme ya shunie na demi
Kwa hiyo mm ni nani kwakoooMie sio mke mwenzako jamaan we kama umeamua kuingia ingia tu
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Kho Kho Kho Kho
MekumithiiiiiAsante mkuu. Kuko salama huko uliko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na wote wana magari na mijumba woiiiiiii na sie tunaokaa kwenye chumba kimoja kweli mie na we dada ndio masikiniMwenzangu
Ndo hivyo.. Wote humu wamesoma UDSM
Taratibu utazoea. Usimuache..anakupenda ujue!Kwangu hakunaga hiyo
Unamjuaa yule .....ngoja nimuiteeDuuu
Wanaume ni...... Isipokuwa T wangu
Naweza kufuta huu uzi ujueDada kama nakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120]End![]()
.......
Kigamboniiii hakuendekiiiii...please, tunajiandaa na safari ya Kigamboni tafadhari usianze hizi mambo.
...atapelekwa saa ngapi wakati mjomba alikuwa Tukuyu?
Ayoo ndo manenoooChillax banaa! Kizuri kula na mwenzio
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Dreva wa hili gari angekomaa kwa simu
Huyo mkewe yupoje kwanzaYetu macho dada
Uke wenza siuwezi Baba D nina moyo vingine siwezi vumilia jamaanKwa hiyo mm ni nani kwakooo
Ujue mm kidume na mheshimianee