Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,851
Kwelii mke mweee

Hapana sakayo kuna mambo yangu hayaja kaa vizuriNini shida Mndali jamani... Au ni hiyo baiskeli imegoma kabisaa kutoka kwenye huo mti????
![]()
![]()
na wote wana magari na mijumba woiiiiiii na sie tunaokaa kwenye chumba kimoja kweli mie na we dada ndio masikini
na mm wa hku madongo kuinuka ndani ndani kwenye migomba nisemejeMuziki: Kwanini Usifurahi
Sijui kama anitachoka kusema kuwa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa ya kuianza siku, kuiishi na kuimaliza. Ni mahali pazuri ambapo tunajifunza na kufundishana, kufurahi bila kukufuru na ambako kila mmoja mawazo yake yanaheshimiwa, utapata sehemu gani nyingine. With this I mean this is a not a perfect forum but the great one. Nimeongeza mbwembwe kidogo si mnajua kila mtu JF kasoma UD na anakaa au alishafika Dar! mimi nina anko wangu Dar huwa ananipa habari sijui za Salenda briji, kama hulijui sio dhambi, angalau nimekueleza lipo.
Ni vizuri kuianza siku kwa furaha na hasa siku yenyewe inapokuwa ni Jumatatu, hii huwa ni siku ngumu sana maana ni siku ya kazi/shule/shamba na yote tusiyoyapenda.
Muziki sasa, usije ukadhani kuwa utamu wa muziki na gitaa huwa hauthamini nyimbo za vijana wa jana na wa leo (generation Y- millennials). Leo tutaangalia muziki wa jana na sitaongea mengi maana wimbo wenyewe unajieleza kwa ujumbe na sauti nzuri
Karibu maana uwepo wako hapa hulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee na kuwafanya watu wadhani linakimbizana na majukwaa mengine kumbe katu halifanyi hivyo, utakimbizana vipi kama hayupo wa kukimbizana naye.
Kipi kinakufanya usifurahi unapotembelea hapa? Sijauliza swali, nimetoa maelezo ya swali, maelezo ya majibu kaa nayo
Namshkuru Mungu kaka angu mzima sana mie hofu kwkao tuAmen
Mzima dadangu
Aisee mnatuweka roho siwe ambao tupo alone pandee hiiMie nikisikia jina lako tuu mie hooooi

Muziki: Kwanini Usifurahi
Sijui kama anitachoka kusema kuwa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa ya kuianza siku, kuiishi na kuimaliza. Ni mahali pazuri ambapo tunajifunza na kufundishana, kufurahi bila kukufuru na ambako kila mmoja mawazo yake yanaheshimiwa, utapata sehemu gani nyingine. With this I mean this is a not a perfect forum but the great one. Nimeongeza mbwembwe kidogo si mnajua kila mtu JF kasoma UD na anakaa au alishafika Dar! mimi nina anko wangu Dar huwa ananipa habari sijui za Salenda briji, kama hulijui sio dhambi, angalau nimekueleza lipo.
Ni vizuri kuianza siku kwa furaha na hasa siku yenyewe inapokuwa ni Jumatatu, hii huwa ni siku ngumu sana maana ni siku ya kazi/shule/shamba na yote tusiyoyapenda.
Muziki sasa, usije ukadhani kuwa utamu wa muziki na gitaa huwa hauthamini nyimbo za vijana wa jana na wa leo (generation Y- millennials). Leo tutaangalia muziki wa jana na sitaongea mengi maana wimbo wenyewe unajieleza kwa ujumbe na sauti nzuri
Karibu maana uwepo wako hapa hulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee na kuwafanya watu wadhani linakimbizana na majukwaa mengine kumbe katu halifanyi hivyo, utakimbizana vipi kama hayupo wa kukimbizana naye.
Kipi kinakufanya usifurahi unapotembelea hapa? Sijauliza swali, nimetoa maelezo ya swali, maelezo ya majibu kaa nayo
Mzee wa saa mpya naona umeamua kunitoa akili kabisa...haiko sawa? Vipi tutafute kamba?
![]()
![]()
na mm wa hku madongo kuinuka ndani ndani kwenye migomba nisemeje
mke mwee na we tajiri pia
Kesho nakujaaNawatamani jaman ebu nijivutie shuka mie
Nipo shemeji. Kwema?Mekumithiiiii
Usijal dingimtoto utapata na wewe au nyakua tu wa watu kama unawezaAisee mnatuweka roho siwe ambao tupo alone pandee hii![]()
HahahaNawatamani jaman ebu nijivutie shuka mie
![]()
![]()
na mm wa hku madongo kuinuka ndani ndani kwenye migomba nisemeje
UpumzikeeAsante mkuu kwa kunishaur
Poa PoaNajua dada![]()
mitala sitaki baba dKesho nakujaa