Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
NshamletaaaaKukupenda ndio uniletee mke mwenza hapana aisee
NshamletaaaaKukupenda ndio uniletee mke mwenza hapana aisee
Leo binamu ndio nitakapojua ukweliii unanipenda au ila kigamboni nitakufikilia
Bitoz alikuwa anakutafutaNimenunua kwa kungwii binamu
HahahaBaby...
Ila mimi dume la mbegu aisee
Nina moyo binamu sio kihivi jamaan me ninavyofukuza watu namuheshimu Baba D...yeah, uko sahihi kabisa aunt! Bora wa mbali hauoni shida, ila sio wa karibu yaani hata wakikonyezana gizani unasikia
Unajifanya ulikuwa hujui ....nani aliyeleta koti la kwenda kuleNiko upande wako aunt na unajua hilo, yaani hapa komaa hakuna kulala na kama vipi ukipata puresha nitakusindikiza polisi kwa usalama wako
Hakuna kuondoka dada hapa ni mkesha mpaka asubuhiAu tuondoke
UsinisemesheUtajijuuuaaaaa
Sawa ila jua simtambuiNshamletaaaa
Hadi umebadili mwandiko... LoohhMtaongeaa mengiii na simwachiii na yye haniachiii
Nimemuona nimemquote TBitoz alikuwa anakutafuta
Dada kwenye ubora wakeNa wewe tabia yako ya kumsifia eti ni kidume uache
Bhinamu ..najua nimekosea ila demi unamjuaa na nshakwambia ukwelii nifanyejee
Aunt mkubwa muwekee mziki apoteze mawazo
Tatizo binamu hauelewekiiiNiko upande wako kabisa, shaka ondoa aunt. Mimi na wewe tena ukijumlisha na anko wangu unajua niko upande wenu
HajatekwaaaUmetekwaaa ??
KaribuuuNimekuja
Najua mume wangu... Yaaani wewe sio wa dunia hii wallah... Mungu akutunze jamani mume wangu