Makapuku Forum

Makapuku Forum

....eeh, sasa mbona unanitambulisha jioni wakati ndo unajua ile safari ya kiga imeiva, unaona sasa aunt yangu tayari keshanisemea mbovu na vitisho chekwa kuwa Kigamboni hakuendeki.

Hivi anko wangu unanitakia mema kweli wewe au ndo unataka kunitoa roho?

Ile laini kama umeivunja ntawapa ya landline ndo ujue huu utambulisho sikubaliani nao
Bhinamu ..najua nimekosea ila demi unamjuaa na nshakwambia ukwelii nifanyejee

Aunt mkubwa muwekee mziki apoteze mawazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom