shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ila ajue una moyoHivi si unaijua roho yangu ilivyo me siwezi dada
Ila ajue una moyoHivi si unaijua roho yangu ilivyo me siwezi dada
Najuaa kesho utakuwa poa ...suprise imekusuprisee
Leo nalala kwa mke mdogo



Kama na yeye ni mmojawapoBora huko wa mbali siwajui sio hapa jf hujui tu
Pole pole LeeKanyee ndimu
Pole pole mke wa TAkameze nananasiii...
Mke mwenza my foot
Mtaongeaa mengiii na simwachiii na yye haniachiii
Najua mume wangu... Yaaani wewe sio wa dunia hii wallah... Mungu akutunze jamani mume wanguNakupenda bae
Hapana binamu kashaamua kutokulala nyumbani acha alale anapotakaNiko upande wako aunt na unajua hilo, yaani hapa komaa hakuna kulala na kama vipi ukipata puresha nitakusindikiza polisi kwa usalama wako
NakupendaaaaaMuite
T ni mwanaume bhana... Siwezi mfananisha na mvulana yeyote...


Huna makosaaa...rudisha roho aunt, shetani tu alinipitia sasa kaniacha njiani narudi kujirekebisha
HahahaWhaaaat?
HahahaNipo nyuma yako hapa nachat na robot
Ooh kumbee maslahi ya muda mfupiii basi binamu hakuendekiii kwa mama mchuchukama kawaida na kwa maslahi ya muda mfupi niko upande wako
Na kesho hakuna kupashanaaWewe ndo maji yangu baby
Moyo huu vingine hauvumilii shemela kama vya mitalaIla ajue una moyo
Bora huko wa mbali siwajui sio hapa jf hujui tu
Au tuondokeSawa dada
Ni kweliiii hao ndio utakaoenda nao kigamboni na mama yangu hawapokeiiii...yaani anko msiachiane kabisa. Ukiamua kitu hayupo wa kupinga maana wewe ni mjomba wangu nakuunga mkono
Biti Biti tuNaomba uache kumshawishi mume wangu.... Oa kivyako, sawa????
Asante ndoo maana nakupendaaSawa