Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Nikuletee maji au?Kho Kho Kho Kho
Nikuletee maji au?Kho Kho Kho Kho
MshindweeFutaaaaaaaa nipo nyuma yako
jf pekee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Kila mmoja ako na meli ya biashara
Ndo naenda kwa pawFutaaaaaaaa nipo nyuma yako
LohWhat a suprise ....umeifanya jioni yangu bomba kweli kweliiii
Tell me my cookie
Anibembeleze nikubali mitala T auHahaaa! Mbembeleza mdogo wako
Mie nimeona tu manyweleNamjua wapi mie dada
Mtaongeaa mengiii na simwachiii na yye haniachiiiKabisaa
Hiyo ya kukuletea mwanamke ni zereu kubwa
Twende kwa PawWakachaaaaaa
Nataka nikuone upo upande gani leo nitajua wanaonipenda ila kigamboni hakuendekiii....eeh, sasa mbona unanitambulisha jioni wakati ndo unajua ile safari ya kiga imeiva, unaona sasa aunt yangu tayari keshanisemea mbovu na vitisho chekwa kuwa Kigamboni hakuendeki.
Hivi anko wangu unanitakia mema kweli wewe au ndo unataka kunitoa roho?
Ile laini kama umeivunja ntawapa ya landline ndo ujue huu utambulisho sikubaliani nao
UtajijuuuaaaaaAkameze nananasiii...
Mke mwenza my foot
[emoji15]OMG naona aibuuuu! [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nakupendea hapo nilipo upo [emoji8] [emoji8] unaweza hata kuua na kunyonga kwa ajili yangu dada
MxxxiiiiiuuuuKanyee ndimu
Inaweza ikawepo piaNishaambiwa haipo, na viatu vyako nilikuwa nimechukua nikavibrush kabisa, ona sasa. Nakudai jero la kubrush viatu safari ikafa
Baby...Na wewe tabia yako ya kumsifia eti ni kidume uache
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Muite
T ni mwanaume bhana... Siwezi mfananisha na mvulana yeyote...
BabeAaah
Sawa dadaShunie
Wala usimjibu