Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sasa nyinyi ndo mnataka nimchokee ....Ukimchoka mtu mwambie ndo uanaume huo, wanaoruhusu wake wengi mbona wao wana mmoja
MmmmhNdio ujionee sasa kama utani au
Vip bitoz alikupatia ni nini
Baba D mie siwezi mitalaUsijali mama D wewe utabaki kuwa mke mkubwa na upendo ntawapenda wotee kabisaa
Msirumbane nyie ni wake wa pedesheee
Mi hata uongeze watatu...nakupenda tu!Kwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Eti nyaku nyakuuu....Dada nimekoma mie sasa hivi mwendo wa hiviii![]()
![]()
nyaku nyaku kila sehemu
Aisee duh![]()
![]()
shuny yupo banned
Kwenda kampokonye huyooo ulompataNdo dawa yakooo
Ongezeaa pedesheee mme ya shunie na demiHongera lee
Dada kama nakuona ujueUkimchoka mtu mwambie ndo uanaume huo, wanaoruhusu wake wengi mbona wao wana mmoja



MyCjambo
kibumbu za weweNa kwako mkuu, pole na majukumu ya kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania yetu ya viwanda?
Etiii nimeongopaa ??
Mke mwenza habari yako!Baba D mie siwezi mitala
Naomba usinisemeshe LeeMm kidumee haswaaa tena anasemaga cha mbegu
Kweli umekuja, sauti ya Dada inatishaShikamoo Dada
Yetu macho dadaMmmmh
Haya, labda utani
AmekujaAmekuja au bado