Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Wala hajaniambia kabisaKumbe ndo kakwambiaa ???
Wala hajaniambia kabisaKumbe ndo kakwambiaa ???
Mm kidumee haswaaa tena anasemaga cha mbeguNa wewe tabia yako ya kumsifia eti ni kidume uache
Amekuja au badoShunie ukuje huku
Hongera leeMapenz mubasharaaaa
Dada nimekoma mie sasa hivi mwendo wa hiviii [emoji40] [emoji40] [emoji40] nyaku nyaku kila sehemuNa wewe tabia yako ya kumsifia eti ni kidume uache
Achana nae huyo....Hivi si unaijua roho yangu ilivyo me siwezi dada
[emoji109] [emoji109]Leo hakuna kumi kubwa
Nipo maeneo korofi yasiyoniwezesha kuandika mada
......
Siwezi mieHawezi keshasema
Anatamani huyoo...Naomba uache kumshawishi mume wangu.... Oa kivyako, sawa????
Kwahiyo masikini humu mie na wewe tu dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko na mie
Usinichekee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Changamkia sasaEwaaaaa! Bahati haiji mara mbili
Nimekuja shemela wangu mie na we upo upande ganiiiiiAmekuja au bado
Pole mdogo wanguWajibebishe tu dada
[emoji7] [emoji8]Achana nae huyo....
Karibu mume..Leo kwako ....
Usijali mama D wewe utabaki kuwa mke mkubwa na upendo ntawapenda wotee kabisaaNguvu zako tu
Yaani we acha tuuJinsi unavyowanyonga
Liniiii Baba D mbona tumeshinda ujanipa hizi mambo me sitakiiiAnatamani huyoo...
Mm mke mkubwa alikuwa na taarifa ila hakujua ni lini na ninavyompenda nkamfanyia suprise
Nishapoa dadaPole mdogo wangu