Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,271 Jul 3, 2017 #228,761 dingimtoto said: Good Morning kamanda Click to expand... Morninh dingi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,762 Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani
Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,763 Leo katika Historia 3/7/1997 - Amado Carrillo Fuentes. Muuza madawa ya kulevya mashuhuri toka Mexico afariki Dunia.
Leo katika Historia 3/7/1997 - Amado Carrillo Fuentes. Muuza madawa ya kulevya mashuhuri toka Mexico afariki Dunia.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,764 Leo katika Historia 3/7/1989 - Godfrey Walusimbi. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka Nchini Uganda anazaliwa.
Leo katika Historia 3/7/1989 - Godfrey Walusimbi. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka Nchini Uganda anazaliwa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,765 Leo katika Historia 3/7/1988 - Winston Reid amezaliwa. Ni mwanasoka wa klabu ya West Ham na Timu ya Taifa ya New Zealand.
Leo katika Historia 3/7/1988 - Winston Reid amezaliwa. Ni mwanasoka wa klabu ya West Ham na Timu ya Taifa ya New Zealand.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,766 Leo katika Historia 3/7/1987 - Sebastian Vettel anazaliwa. Ni mwendesha magari maarufu toka Ujerumani.
Leo katika Historia 3/7/1987 - Sebastian Vettel anazaliwa. Ni mwendesha magari maarufu toka Ujerumani.
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 3, 2017 #228,767 mzeewakungoa said: Ngoja nimwite Obe anisaidie kujibu. Click to expand...
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Jul 3, 2017 #228,768 QUIGLEY said: Morninh dingi Click to expand... Kwema huko?huko kamanda
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 3, 2017 #228,769 shululu said: View attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki Click to expand... Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno .......
shululu said: View attachment 534418Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa bitoz na Clkey Nawatakieni mwanzo mwema wa wiki Click to expand... Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno .......
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 3, 2017 #228,770 Jimena said: Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani Click to expand... Karibuu
Jimena said: Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani Click to expand... Karibuu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,771 Leo katika Historia 3/7/1980 - Roland Schoeman. Muogeleaji kutoka nchini South Africa anazaliwa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,772 Leo katika Historia 3/7/1962 - Tom Cruise muigizaji nguli wa wa filamu toka Marekani anazaliwa. Ni maarufu kwa filamu za Mission Impossible.
Leo katika Historia 3/7/1962 - Tom Cruise muigizaji nguli wa wa filamu toka Marekani anazaliwa. Ni maarufu kwa filamu za Mission Impossible.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 3, 2017 #228,773 lee empire said: Click to expand... Ahsante mzee wa kupasha ......
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 3, 2017 #228,774 Bitoz said: Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno ....... Click to expand... Pamoja sana bitoz na pole pia
Bitoz said: Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno ....... Click to expand... Pamoja sana bitoz na pole pia
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,775 Leo katika Historia 3/7/2013 - Mohamed Morsi Rais wa Misri anapinduliwa na Jeshi baada ya siku Nne za maandamano Nchi nzima.
Leo katika Historia 3/7/2013 - Mohamed Morsi Rais wa Misri anapinduliwa na Jeshi baada ya siku Nne za maandamano Nchi nzima.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 3, 2017 #228,776 Jimena said: Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani Click to expand... Karibu ankali
Jimena said: Morning family.... Leo katika Historia itawajia hivi punde tu.... Kwa udhamini mnono kabisa wa soka safi ya timu ya Ujerumani Click to expand... Karibu ankali
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 3, 2017 #228,777 Kwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada. Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele. Ciao !!!
Kwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada. Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele. Ciao !!!
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 3, 2017 #228,778 Habari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu Naona week nimeanza Wale wa ofisini mpo ofisini Wakulima wapo shambani Wa kuchat wapo mtandaoni Matapeli wapo kwenye assist zao Yaani kila mtu na kwake Niwatakie Jumatatu njema .......
Habari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu Naona week nimeanza Wale wa ofisini mpo ofisini Wakulima wapo shambani Wa kuchat wapo mtandaoni Matapeli wapo kwenye assist zao Yaani kila mtu na kwake Niwatakie Jumatatu njema .......
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 3, 2017 #228,779 Bitoz said: Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno ....... Click to expand...
Bitoz said: Shukrani mdau Kipigo walichokipata Chile jana kilinifanya nilale kwa sura ya mnuno ....... Click to expand...
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 3, 2017 #228,780 Jimena said: Kwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada. Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele. Ciao !!! Click to expand... Asante nawe pia mkuu Ubarikiwe kwa kazi hii nzuri
Jimena said: Kwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada. Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele. Ciao !!! Click to expand... Asante nawe pia mkuu Ubarikiwe kwa kazi hii nzuri