Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mmmmmh!!!! Mama mchungaji anakupenda sana mpendwa sema ni hivi vistory vyako vya kiselasela ndio vinakuangusha



Unapofukuzia mwanamke angalia huyo mwanamke ni mtu Wa aina gani,_ex: km ni mchamungu basi na wewe itabidi na ww ujifananishe nae kuongea na vingine viendane na uchamungu


Sasa wewee mpendwa wangu km upo serious itabidi uact ulokole banaa




SMILE JESUS LOVES YOU
Husnaa..
 
...anko yaani acha tu, na hivi safari ya kigamboni nimeitangaza basi wabaya wangu hawachelewi kuivunja.

Ila anko ule unyunyu yaani ndo ukaamua kuupulizia wote kwenye lile koti chafu😱, sasa nimeliona yaani linanukia sijui maapple au mafenesi
Bhinamu wabaya wote niachie mm nakula nao chapati mojaaa kama sio kitumbua. ...

Sasa ningelifanyajee make ukishaipeleka kule ningeliipataaa.....???

Koti langu liachee na uchafu make sasa lishakuwa reservior ya pafyumu ...nalifunika kwenye begiii ata boxer inanunukiaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom