Twenzetu mamy mbona nimekusubiriaa kitamboLee twende zetu kupasha bhana
Asante mkuu ...uwe na jpili njemaa ...View attachment 533838Kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
Niwatakie jumapili njema
Pamoja sana mme mweeAsante mkuu ...uwe na jpili njemaa ...
Nilikuwa nabadilisha nguo shem darlingTwenzetu mamy mbona nimekusubiriaa kitambo
Asante shemejiView attachment 533838Kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
Niwatakie jumapili njema
Saw dear nimekuelewaa ila leo umechelewa au usiku ulichokaa ??Nilikuwa nabadilisha nguo shem darling
MmmmhPamoja sana mme mwee
Morning HunieMorning all kapuku
Haaaaahaaaa,hamna shemeji, leo tumetofautiana dk mbili tuMorning
Unalala mnoo shemela bhana