HBD Esteban GraneroLeo katika Historia
2/7/1987 - Esteban Granero kiungo wa zamani wa Real Madrid alizaliwa.
RIP Mario PuzoLeo katika Historia
2/7/1999 - Mario Puzo anafariki Dunia.
Huyu ni mwandishi maarufu sana ambapo ameandika Riwaya maarufu za Godfather.
HahahahaMungu anakuona ujue
....
Litoke wapi kwa mfano??Kwani Kuna tatizo![]()
![]()
Wivu. Tuache watu na maankali zetuHana ukali wowote
![]()
![]()
![]()
......
Na mimi niite eden Kimario nakutakia Jumapili njema pia jimenesAsante ni kwa kuwa pamoja nami kutoka meza ya historia... Niite Jimena Jimenes nawatakia mapumziko mema wote
Wacolombia hawapendi ujingaLeo katika Historia
2/7/1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.
Asante kwa leo katika historia ankali JJAsante ni kwa kuwa pamoja nami kutoka meza ya historia... Niite Jimena Jimenes nawatakia mapumziko mema wote
Leo katika Historia
2/7/1925 - Patrice Lumumba anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo zamani Zaire.
Aliuwawa kikatili mwaka 1961 chini ya Dikteta Kanali Joseph Desire Mobutu
Am goodMorning Sakayo
Kupigana huko vipi...Huwezi jua Usiku kaingia bed muda gani halafu "kapigana" usiku kucha
![]()
![]()
![]()
.......
ThanksSame to you Sakayo
Asante kwa historia JimenaAsante ni kwa kuwa pamoja nami kutoka meza ya historia... Niite Jimena Jimenes nawatakia mapumziko mema wote
Leo katika Historia
2/7/1986 - Lindsay Lohan msanii kutoka Marekani anazaliwa.
Kupigana huko vipi...
Muda mwingine unatakiwa kuzuga ili watu wasisome alama za nyakati.... Ona sasa mpaka Bitoz kausoma mchezo