Makapuku Forum

Makapuku Forum

...huhitaji kuwa na uwezo wa kuongea mbele za watu, kwani unataka kuwa mbunge?

Hapa umejieleza kwa mtu, mtu mmoja tu tena mtu maalum uliyemdondokea! Kwa kuwa demi kasema hakufai ilhali wewe unasema anakufaa basi hapa ndo ile sheria ya sumaku inapokuja, like poles repel while unlike attracts. Mngekuwa mnatakana pamoja basi kusingekuwa na maana. sasa mmoja anamtaka mwenzie na mwenzie anaona hamfai, ukisikia mapenzi ndo haya sasa, nyie ni sumaku zisizofanana hivyo huvutiana
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jumamosi Fleva

Habari Makapuku wenzangu, ni jumamosi nyingine na kwa heshima kabisa nawakaribisha katika Jumamosi Fleva, nimepata hii idea baada ya kuona post ya Shunie na wadau wengine hata BlessedHope naye anavutiwa na fleva za kileo. kwanini nawataja hawa na kuwajuisha na wengi humu makapuku, sababu ni moja tu, jana nilipandisha wimbo wa Chidinma na ulilaikiwa na wengi, na kama mdau naamini tukiwa na hiki ki Jumamosi Fleva itakuwa poa sana.

Hapa tutakuwa tunapata miziki ya kileo zaidi, si ya zamani, miziki maarufu ya kileo. Usichoke kutoa maoni au kusema wimbo gani unapenda uwepo hapa. Wadau Bitoz anko lee empire , shululu ,Tumosa , Clkey ,Sakayo ,Nyagei mzeewakungoa , Transcend , Mondray , EMMYGUY , husna muba na wengine nilosahau kuwatag nakaribisha maoni yenu kuhusu hii Jumamosi Fleva.

Maoni yako ni muhimu na hata ukiweza unaweza kuichukua uwe unapandisha Jumamosi Fleva kila siku au utavyoona inafaa. na kama nitakuwa nayo mie basi unaruhusiwa kupendekeza muziki ukishindwa naweka ninaovutiwa nao.

na leo naanza na chagua la aunt yangu Shunie wimbo Leo toka kwa Kassim Mganga

Burudika

Ni wazo zuri mdau
Hapo watoto wa juzijuzi tutakuwa tunafurahia mapigo yetu
Mimi nataka Starehe za Ferouz

.......
 
b0cc7a3f8abaf92b565729da87ed9ea3.jpg
 
Ndio maana nipo singo ajili hii mtu akinikatalia limoja basi hua namuacha tu coz penz tamu ni lile mlilo lidhiana..But nimempenda sana huyu mwanamke basi tu
...huhitaji kuwa na uwezo wa kuongea mbele za watu, kwani unataka kuwa mbunge?

Hapa umejieleza kwa mtu, mtu mmoja tu tena mtu maalum uliyemdondokea! Kwa kuwa demi kasema hakufai ilhali wewe unasema anakufaa basi hapa ndo ile sheria ya sumaku inapokuja, like poles repel while unlike attracts. Mngekuwa mnatakana pamoja basi kusingekuwa na maana. sasa mmoja anamtaka mwenzie na mwenzie anaona hamfai, ukisikia mapenzi ndo haya sasa, nyie ni sumaku zisizofanana hivyo huvutiana
 
Sasa sema taratibu sasa anko, si unajua ile safari ya Kigamboni ndo kwanza leo nimenunua unyunyu, akisikia tu aunt ujue na safari hii itakufa mazima
Safariii iko palee pale ...si ushamtimiziaa alichotaka ...kuhusu unyunyu nimekuibiaa kidogo ulivouachaa lile koti nimepulizia nkaweka kwenye begiii..ntakua natooa nguo inanukiaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom