Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mfano haiiiHuwez jua utani utani inaweza tokea kweli like shune & Lee
Mfano haiiiHuwez jua utani utani inaweza tokea kweli like shune & Lee
Moyo wangu hauna mapenzi. Can't love anyone.
Uko vizuriiii nakusomaaaSure, haya mapenzi ya kikapukukapuku huyawezi wewe, ndiyo vizuri na hata yeye hayawezi. kwa hiyo mko sambamba
...kwani mimi ninamtafutia? Na hata kama kumtafutia si angeweka tangazo kwanza? yeye kavutiwa na wewe na kawasilisha ujumbe wake kwako
Binamu iko poa sana ...nimefanya vizuri kukutunzia pesa yako make ungelikuwa kilaabuu hizi point ungetupaa linii
Nishkuru na mie niliechagua jamaanBinamu iko poa sana ...nimefanya vizuri kukutunzia pesa yako make ungelikuwa kilaabuu hizi point ungetupaa linii
Moyo wangu hauna mapenzi. Can't love anyone.
Oh! Some emotional stuff takes time to heal, najua utakuwa sawa na hutaandika tena hicho ulichoandika na hasa kama utampata mtu jasiri wa kukutamkia kwa maandishi kuwa anakutaka kwa uwazi bila kificho kama pilau makinikia.
Yaani Mondray hataki kuwa anyone bali someone kwako, kawa wazi kama ndege za bombadier, unazijua?
Ndo nipo hivyo mydear. Sitakufaa am sorry!Kwanini binie hupend mtu..
Ndo nipo hivyo mydear. Sitakufaa am sorry!
JamaaaaniiiJamaniii...mi siwezi banaa
Sema aki ya naniiiMoyo wangu hauna mapenzi. Can't love anyone.
PoleeeUzi mwingine ulikuepo huko sakayo aliniambia nikaenda kuuangalia watu wengi waliwekwa
Useful how? Nini umenipendea sasa? Mimi ndo kwanza "nakuona" leoNoo Demi wewe ndio utaona hunifai but for me u are so Usefull...
Natamani nije pm nijieleze vizuri unfortunately imefungwa..
Haki ya Mungu!Sema aki ya naniii
Mikobaaa umeirithiiii haswaaaOh! Some emotional stuff takes time to heal, najua utakuwa sawa na hutaandika tena hicho ulichoandika na hasa kama utampata mtu jasiri wa kukutamkia kwa maandishi kuwa anakutaka kwa uwazi bila kificho kama pilau makinikia.
Yaani Mondray hataki kuwa anyone bali someone kwako, kawa wazi kama ndege za bombadier, unazijua?
Sifanyagiii kosaaa ....katiba unaijuuaaaHa hahahahaha, anko hiyo pesa usijilipe tu au ukaenda kumalizia ile bill pale kwa juzi.
Useful how? Nini umenipendea sasa? Mimi ndo kwanza "nakuona" leo
Shikamoo Obe..
Ukubwa Dawa.Najuta kukosa uwezo wa kujieleza mbele za watu..