Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Asante sanaKaribu sana
Karibu mbege baridi
Asante sanaKaribu sana
Ha haaa haya bwana! Namtakia kila la kheri apate hitaji la moyo wake!
Anahitaji mtu wa kupendana nae. Au nimekosea?...acha utani mdau, kwani hitaji la moyo wake keshaliweka wazi?
Jamaniii...mi siwezi banaaHitaji langu ni ww
...ewaaa, hapa umenipa na nguvu ya kwenda kununua unyunyu😀 na maua zidisha kuyatuma mengine atunze kwenye furiji yasinyauke. Au tuma ya kichina yale ya plastiki
binamu umeanza sasaJamaniii...mi siwezi banaa
Ile ya siku ile ya husna ??Kuna mtu aliweka uzi huko jukwa la habari mchanganyiko kataja watu mie apa mbea
Anahitaji mtu wa kupendana nae. Au nimekosea?
Anahitaji mtu wa kupendana nae. Au nimekosea?
Muziki: Ni Jumamosi Tulivu
Huwa hatuweki maneno Jumamosi, tunabaki kusoma ya kwenye kanga tu maana kila mmoja anakuwa ametulia nyumbani na kwa sisi tunaokaa kwenye nyumba za kupanga basi ni burudani tu, huku kunakaangwa nyama na biriani , hapa ndondo na tembele zote zikichagizwa na maneno mazuri ya kwenye kanga. Vitenge subiri mbio za mwenge ndo uvae.
Ni jumamosi wadau, nawasalimu sana na kiufupi wikend ndo inaisha hivyo. Umuhimu wako wewe kapuku hapa Jukwaani sina namna ya kuuelezea maneno yakatosheleza. Yaani ni nusu na robo jumlisha roba
Muziki sasa, leo turudi bakulutu kidogo. Nani hapendi muziki ambao ulikuwa ukipangiliwa sawia. Studio kubwa kama kiwanja cha mpira, sio studio za kileo ambazo kachumba kadogo tu kama tule tuvyumba twa pale Buguruni au Temeke basi studio inatosha kutoa muziki wa kina Diamond. Tuyaache haya usije uliza nimejuaje, hata Kigamboni si hutu tuvyumba pendwa tupo pale karibu na viwanja vya Shababi? Huwa naenda kupasha kama veteraani kwenye viwanja hivi, ondoa shaka. Ukitaka nitakupeleka, tunapasha Jumamosi asubuhi na Jpili.
Burudika na sauti-midundo mitamu ya wakongwe
Moyo wangu hauna mapenzi. Can't love anyone.ndiyo, anamuhitaji wa kupendana naye. Na moyo wake umekudondokea wewe. Yaani paka kaangukia mgongo
UnapendwaaaNisaidie kutoa jibu basi..
Uzi mwingine ulikuepo huko sakayo aliniambia nikaenda kuuangalia watu wengi waliwekwaIle ya siku ile ya husna ??
Mke mwee
Jumamosi Fleva
Habari Makapuku wenzangu, ni jumamosi nyingine na kwa heshima kabisa nawakaribisha katika Jumamosi Fleva, nimepata hii idea baada ya kuona post ya Shunie na wadau wengine hata BlessedHope naye anavutiwa na fleva za kileo. kwanini nawataja hawa na kuwajuisha na wengi humu makapuku, sababu ni moja tu, jana nilipandisha wimbo wa Chidinma na ulilaikiwa na wengi, na kama mdau naamini tukiwa na hiki ki Jumamosi Fleva itakuwa poa sana.
Hapa tutakuwa tunapata miziki ya kileo zaidi, si ya zamani, miziki maarufu ya kileo. Usichoke kutoa maoni au kusema wimbo gani unapenda uwepo hapa. Wadau Bitoz anko lee empire , shululu ,Tumosa , Clkey ,Sakayo ,Nyagei mzeewakungoa , Transcend , Mondray , EMMYGUY , husna muba na wengine nilosahau kuwatag nakaribisha maoni yenu kuhusu hii Jumamosi Fleva.
Maoni yako ni muhimu na hata ukiweza unaweza kuichukua uwe unapandisha Jumamosi Fleva kila siku au utavyoona inafaa. na kama nitakuwa nayo mie basi unaruhusiwa kupendekeza muziki ukishindwa naweka ninaovutiwa nao.
na leo naanza na chagua la aunt yangu Shunie wimbo Leo toka kwa Kassim Mganga
Burudika
UmeadimikaaHodi humu ndani
...basi wewe kitunze ila muwezeshe yeye avunje chake. Ndo mazoezi kwa vitendo hayo ukisikia wanasema practical ndo hizo sasa.
