Kabisa mkuu na shule unajua haina mwisho ni kuwa na utayar tu wa kupokea mambo mapya kila siku...Si lazima tuanzishe kitu pamoja, lakini tunaweza kujifunza vitu mbali mbali kutokana na experience za watu katika maeneo tofauti.
Nimekuja na ndizi kikonosi,unapenda?Valentina wacha nikuitie mtu anaye husika na vinywaji kwa wageni wote youngblood unaitwa huku ama jambilo aje?
Wakati tunawasubiri waje tuendelee na story kidogo...Habari za huko ulikotoka..Umetuletea nini Valentina?
Karibu sana kiongozi...Poa mkuu
Mshana jr hapa ni kijiweni kwake, sema tu kwa sasa yuko bize kuchemsha mizizMshana jr kumbe na wewe unakujaga kututembelea karibu bhana dah inapendeza
Khaaaa Shem ni mchokoz wewe
Kitu cha pilau bhana a.k.a wali mweusi au wali mchafuNini kinapikwa hivyo
Oyoooooooooooooooooooo....
..........
Eeh mandedee..Hizo zinafaa kabisa na maana huwa tunasema mgeni atakula kile alichokuja nacho na wewe si unazipenda tu...Ama wewe umekuja na kikonosi lakin huwa unapendelea chipsi mayai ? Wala usijali mgeni wetu we sema tu..Nimekuja na ndizi kikonosi,unapenda?
Kweli mkuu.Kabisa mkuu na shule unajua haina mwisho ni kuwa na utayar tu wa kupokea mambo mapya kila siku...
Utakuwa mgeni humu, lakini karibu naona umetusoma kiasiHeh!!!couples za makupuku zinastory flan amaizing km moja ya jina la wifi yetu humu!!hya single makapuku nikuchangia tu hahahaha!!!
Ha haaa ukinipatia magimbi na chai ya rangi itakua poa zaidiEeh mandedee..Hizo zinafaa kabisa na maana huwa tunasema mgeni atakula kile alichokuja nacho na wewe si unazipenda tu...Ama wewe umekuja na kikonosi lakin huwa unapendelea chipsi mayai ? Wala usijali mgeni wetu we sema tu..
Wikendi vipi dada'angu.Asante Mr
Hahahahah mshana jr anatufunguaga mengi ila nyuzi zake nyingine ukizisoma unaweza usilaleMshana jr hapa ni kijiweni kwake, sema tu kwa sasa yuko bize kuchemsha miziz
Bro umeona ujumbe wangu????Kweli mkuu.
Mgeni mzuri sana wewe wala usijali wacha nikachimbe magimbi wakati nakula kikonosi hapa...Mda si mda yataiva..Ha haaa ukinipatia magimbi na chai ya rangi itakua poa zaidi
karibu dadaHodiii
W/end ni poa kabisa... Karibu tuvute upako na gospel music hapaWikendi vipi dada'angu.
Manuu nipoWacha tuwasubiri then tutapata cha kujifunza hapo mkuu..
Wapi tena shemeji!Bro umeona ujumbe wangu????