Makapuku Forum

Labda mngetaka kujua nini kuhusu karafuu.
 
Labda mngetaka kujua nini kuhusu karafuu.
Mkuu nadhani ulitoa mchanganuo fulani kule mwanzo wa uwekezaji na faida zake...Labda sasa ungejaribu kueleza kama project hiyo ikipita wapi mashamba yatapatikana na ni vip usimamizi wake utakuwa maana wengi tutakuwa mbali mbali na msimu wake ni upi, Changamoto ni zipi na mambo kama hayo mkuu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…