Makapuku Forum

Leo katika historia

30/6/1937 Namba ya kwanza ya dharula (Emergency number) duniani yazinduliwa huko London Uingereza. Namba hiyo ilikuwa 999
Wiki moja baadaye yaani Julai 7 muhalifu wa kwanza akatiwa mbaroni na Polisi kwa msaada wa # hiyo ya dhsrura iliyopigwa na msamaria mwema

Enzi hizo Bongo simu labda walikuwa nazo wakoloni tu
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…