Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Mwambie namuhitaji aje kunijibuHajakimbia kuna masuala anarekebisha,akimaliza utamuona hapa mke mweee
Mwambie namuhitaji aje kunijibuHajakimbia kuna masuala anarekebisha,akimaliza utamuona hapa mke mweee
Kauli ipi tena baba dAfute kwanzaa kaulii
Mbona unaguna jamaan Baba DMmmmmmh
Halaf nakuona unanigeukaNitag plz
Kigamboni siendiiii nenda na mgeni wa tukuyu binamuKesho anko itakuwa poa sana , wewe jipange nami najipanga maana si unajua ile buku jero kwa mjumbe imezaa, yaani kaizalisha pale nilipoenda kumwambia umesafiri ikawa buku tatu nzima yaani ukijumlisha inakosekana jero tu kufika mkoba yaani buku tano.
Vipi utakuja na ugeni wetu wa Tukuyu😀😀
Na wewe piaUsiku mwema wakuu
Ya kigamboniiKauli ipi tena baba d
Ilaa weweKigamboni siendiiii nenda na mgeni wa tukuyu binamu
Kwemaaa mdauuNiaje wakuu..
Siendii Baba DYa kigambonii
Ilaa wewe
Salama za kwako?Jimena za wewe mamy
Unasalimia mara ngapi jamaan mondray ila we nimekuvulia kofiaNiaje wakuu..
Safi tuSalama za kwako?
Kwann umenivulia kibaglashia bibie..Unasalimia mara ngapi jamaan mondray ila we nimekuvulia kofia
Kwemaaa mdauu
Salama za kwako?
Haya sasaMambo jimena..
May I tell you something..
Kuzalishana mapema ndio vizuri mondray sasa hivi tunakula raha tuSalama huku..
Naona unamkondesha shunie wa watu kwa kumzalisha mapema..atii mama D