Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi ntakuwa mshamba zaidi ya wote humu ndani.hv mnakuwa na uhakika gani kama hawa mnaowaita wanawake n wanawake kweli..!!!?maana hz fake ID mh mh mh.labda kama mliwahi kukutana private jaman.msije mkawa mnasema yule wangu na huyu wangu kumbu "NYOTE NI MIDUME".teh teh teh


Usijipe ugonjwa wa moyo, ukisikia wangu usipeleke yako kiunoni, kwa mfano wewe ni ndugu yangu
 
Maneno kuntu sana haya.Big up kamanda..

-Mond-
1/Human
2f99c28d124ffe63936f4fd8733ed0ed.jpg
5e78a3ada8c0922d653f0c9d4349356c.jpg
Binadamu amejaaliwa akili za kutambua manbo mema na mabaya pia kuyatawala mazingira na viumbe vingine ila usishangae ni mnyama mjinga na mpumbavu
Waswahili husema akili nyingi huondoa maarifa pia ujanja mwingi ni ujinga !!!

Binadamu anayaharibu mazingira yake mwenyewe
Binadamu wanauana wenyewe kila kukicha
Binadamu anatengeneza silaha mfano za nyuklia ambazo humwangamiza yeye mwenyewe
Wanasiasa wanaharibu utulivu wa nchi/jamii wakidhani hayatawapata wao na familia zao
Binadamu ana upumbavu wa kila aina,baadhi ya viungo kavipa matumizi yasiyo yake

Watu kila siku JF wanasoma thread za uwepo wa akina Rainyundo wazee wa kupiga assist lakini wanaendelea kutapeliwa kizembezembe tu utafikiri hawaoni wala kusikia...wengine wapo JF kwa ajili ya kutukana watu, wengine kutafuta likes na umaarufu kwa nguvu badala ya maarifa au pengine kutafuta hela

Makanisani nako Mchungaji hata awaambie waumini wanywe sabuni ya kusafishia choo wanakunywa tu
Binadamu wana mambo ya kipuuzi na ujinga uliopitiliza
.
.
.
.
.
Tukutane kesho
Mwisho
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom