isee hapa pamekaa poa sana,kila kauli inaungwa mkono na like zaidi ya moja,ha ha haaaa!
nawaona wale top ten wakidondoka hivihivi!
maana tumechoka sasa!
isee hapa pamekaa poa sana,kila kauli inaungwa mkono na like zaidi ya moja,ha ha haaaa!
nawaona wale top ten wakidondoka hivihivi!
maana tumechoka sasa!
Shemeji mi mzima kabisa tunashukuru Mungu...Na nadhani unajua sisi tumeshakuwa mwili mmoja hivyo nikisema mimi mzima basi jua kabisa na amaizing naye ni mzima maana mimi ni yeye na yeye ni mimi....Wewe vp Shemeji na Nahrene ?