Makapuku Forum

Mawazo kama haya ni ya muhimu sana kwa wakati huu...
 
Ajira hugeuka kuwa utumwa pale ambapo baada ya kuipata hutaki kufikiria tena nje ya box hapo ni shida ila Ajira unaweza kuitumia kama Stepping stone na ikakuvusha ng'ambo ya pili pale ndoto yako ilipo..
Kweli mkuu,ajira yeyote bila kufanya kitu kingine nje ya box haiwezi kukutoa ulipo!,lazima utakufa masikini tu!,mishahara yenyewe hii imejaa makato kibao.
 
Kweli mkuu,ajira yeyote bila kufanya kitu kingine nje ya box haiwezi kukutoa ulipo!,lazima utakufa masikini tu!,mishahara yenyewe hii imejaa makato kibao.
Kabisa ndugu yangu na mshahara huwa unatosha kwa mwezi mmoja ama miwili tu baada ya hapo unakuwa umeshazoea mshahara huo unaanza kuhisi unadhulumu nafsi yako kwani kipato hakikutoshi ila ukiwa na malengo kwamba kwa Ajira hii mimi nitafute mtaji na niwekeze mahali pengine hata huyo kazi utaifurahia pia...
 
Unalo lingine kaka!
Mkuu wacha tuendelee kuchangamsha akili tuone nimeona umesema mlishatengeneza kikundi flan mkaanza kilimo na kimefanikiwa kwa kiasi flan hiyo nimeipenda maana kumbe upo na xperince ya kutosha kabisa...Unaweza funguka zaidi kwa jinsi gani mlianza na changamoto mlizokutana nazo...
 
Nakuelewa brother, mimi kwakweli nina mpango wa kufanya ajira yangu kama kitu cha ziada cha kuniingizia kipato!

Unajua sisi vijana hatujui tu ila hakuna kitu kizuri kama kujiajili!.
 
Kweli mkuu.
jambilo hebu tupe madini kidogo mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…