Makapuku Forum

3/Joseph Well
Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1877 na kufariki dunia 1975
Alikuwa ni tapeli maarufu karne ya 20....kafanikisha wizi kibao ukiwepo wa USD 8 Milioni
Alikuwa akikusanya madeni pamoja na wafanyakazi wenzake kisha kuweka kitu kibindoni kidogo kidogo
Jamaa alikuwa bonge la tapeli kiasi akiwa kitaa alikuwa akibadili jina karibia kila siku mara Dr Fulani,mara sijui nini
Keshatapeli watu kibao ikiwemo kujifanya mwekezaji wa kampuni ya mafuta
......
 
2/Charles Ponzi Tapeli huyu alizaliwa mwaka 1882 na kufariki 1949
Alikuwa ni mhamiaji/mzamiaji wa Kitaliano aliyeishi nchini Marekani na kuwa miongoni matapeli wakali wa muda wote
Usishangae umaarufu wa neno Ponzi kwenye Make Money Fast Schemes kwenye mitabdao ya kijamii....ni sababu ya huyu tapeli

Ni msomi wa Chuo Kikuu kutoka Rome ila akatumia maarifa yake kuwapiga watu assist/utapeli wa kufa mtu ....kufanya kazi Nchi kibao na kuishia kuavhishwa kazi kutokana na utapeli mfano alianza kufanya kazi mgahawani Marekani ila akaachishwa kutokana wizi/utapeli
Huyu ni tapeli wakimataifa
.........
 
Huyu sasa ametisha
 
1/Frank Abagnale
Alizaliwa mwaka 1948
Alikuwa ni msanii,tapeli wa risiti(cheque) n.k
Miaka ya 1960's alifanya bad cheques katika Nchi mbalimbali yenye thamani ya USD 2.5 Milioni
Hii ni filamu inayoelezea madudu aliyoyafanya

Utapeli mwingine maarufu ni alipotengeneza "slip" fake ya akaunti ya bank na kufanikiwa kuiba USD 40,000 na fasta kuingia nazo mitini
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
 
Chezea mtaliano wewe.....
 
Asante kwa kumi kubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…