Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Wakuu..
Habari za usiku
Habari za usiku huu ni nzuri! Vipi, mbona unasalimia usiku usiku, kuna tatizo?
Wakuu..
Habari za usiku
Hii vita imeanza lini?

Lovie..!Unaweza lala kwa kumbukumbu zile za Mzigua kweeeli
Asante mkuuWanawake na utapeli wapi na wapi?
Mkishikwa mtafanywa kitu mbaya
![]()
![]()
![]()
....
Kubwa sana mkuuHabari za usiku huu ni nzuri! Vipi, mbona unasalimia usiku usiku, kuna tatizo?
Labda siku nyingineMadenge ahsante sana kwa hao wazee wa assist..
Kama hutajali utuwekee topten ya wale wezi wa jinga..
Nini tena T?Kubwa sana mkuu
Nina tatizo la kifedha mkuu...Nini tena T?
Fresh tu huangalii game nini?Wakuu..
Habari za usiku
Ha ha ha ha ha.... Very good at practical joke.... Dada S anadai fidia nini?Nina tatizo la kifedha mkuu...
Fanya kunitoa 1ooK tuu...! Next week nakupa hela yako..
Njoo pm
Nipo portugal mkuu..Fresh tu huangalii game nini?
Nipo Chile kwa mkopo
......
Nina tatizo la kifedha mkuu...
Fanya kunitoa 1ooK tuu...! Next week nakupa hela yako..
Njoo pm
Ha ha ha ha ha.... Very good at practical joke.... Dada S anadai fidia nini?


Hakuna cha pasu kwa pasu wala nini lazima mpigweNipo portugal mkuu..
Game 50/50 hii
Hhm.... As simple as that.....
Tumeachana...
Hahaaa! Chile anakula mweleka dakika za mwisho..Hakuna cha pasu kwa pasu wala nini lazima mpigwe
![]()
![]()
![]()
......
Simple tuu! I don't give a damn ***..Hhm.... As simple as that.....
Muziki: Kumekuchwa
Hivi unajua kuwa Makapuku Forum kuwa sehemu inayohusudiwa na kila mwana JF ni kwa sababu ya wewe kapuku unayesoma segment hii ya Muziki na Utamu wa gitaa. Ndiyo, wewe ni mtu bora sana na Makapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa sababu wewe, naam, wewe unayesoma bila kupepesa macho ni sehemu ya Makapuku forum. Hata mimi, kama ulivyo wewe ni muhimu humu, kifupi Makapuku wote tunaifanya forum hii kuwa bora kabisa. Yaani tumeifanya KF kuwa kama Geneva ya JF, kimbilio la kila mmoja, a buffer zone, shokomzoba (shock absorber). Utataka nini ukose huku, siasa, jamimi, maisha, elimu, utani, imani zote utazikuta.
Utakutana na viungo wa hatari wanaotoa assist na kama kawaida ma mastrika wa hatari ambao hatutoi assist kwenye kumi nane. Njoo ukabe utupe penati.
Kuanzia siku inapoanza tunapokutana na wewe mpenzi msomaji, ukiianza siku kwa maombezi, UF, then segment ninayoipenda sana, magazeti, halafu unakutana historia, hadithi halafu mchana tunakutana kwenye kipenzi cha wote, sogozi, jioni tunakuwa kwenye zile mambo nzuri kabisa za 10 kubwa na bora. Sijui kama kuna segment nimeisahau maana kabla ya kulala tunakutana kwenye muziki na mada rahisi. seriously, KF ni nzuri kwa sababu mimi na wewe tupo hapa.
BTW, wataalamu wa umeme wamekuja kwa hiyo wakati tukiendelea kufaidika na umeme wa gesi nchi nzima basi tusubiri umeme wa maji kule nini nini Gorge sijui.
Muziki sasa, anaitwa Ringo Mandlingozi, huyu kama ilivyokuwa jana (sitafanya kukosea tena kwa kuweka muziki tofauti na maelezo ) anatoka SA na ni mwimbaji na muandaaji wa muziki mwenye tuzo kibao kuanzia Kora hadi tuzo za ndani. Umaarufu wa Miriam Makeba uliwezeshwa kwa muziki mzuri wa huyu jamaa.
Ana sauti nzuri inayoshibisha masikio na muziki wake ndio utakaokuburudisha usiku huu. Hivi unajua nini? Wewe ni mtu muhimu humu na ninajiskia poa sana unapochukua muda wako adhimu kutembelea jukwaa hili. LLL
bora kabisaLabda Cristina R7 .utampa wewe hiyo assistHahaaa! Chile anakula mweleka dakika za mwisho..