Makapuku Forum

TOP TEN
Umewahi kuombwa assist na msrla aitwaye Rainyundo ? kama tayari kausha tu aisee kama mimi
......Jamaa alikuwa na marafiki wengi humu JF Ila ujaujanja umemponza na ndo mwisho wa ID yake
Tapeli ni tapeli tu awe alidanganya,alikopa,alitoa tiba feki, n.k .....Wazee wengine wa kupiga assist humu JF wanaotajwatajwa sana ni Mzizi mbichi,Kelvin Isisa,na Mtu mwepesi
Kitaifa tunaye James Rugamalira,Andrew Change,Rostam Aziz na Dr Manyaunyau
Mwizi ni mwizi tu
Tofauti kati ya tapeli na jambazi ni kwamba tapeli anatumia akili kudanganya watu wakati jambazi anatumia nguvu kupora


Sasa tuwaone wazee kumi maarufu wa kupiga assist enzi hizo yaani matapeli/wadanganyifu
NB:
Naandika kiufupi zaidi maana nikiandika kinagaubanga tutakesha bure
Karibuni
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom