Sawa lakini wewe kila tukipanga ndo huwa wa kwanza kuharibu ...ya mdogo wake mama Ashura tulikubariana nn...sasa hapa na wewe ndo nafsi yako ya kunitetea mjomba angu bhana unajua tunaweza kukosa mambo mazuri hivi hivi
Chumba sio nyumba
Na mm sina maana hiyoo ...mmfano mm nikienda namfikiria mama D cheupe wangu wewe unamfkiriaga nanHalafu mimi sio mpinzani wako.... Mimi ni shemeji yako... Mimi ninachokuomba usimtese tu dadaangu.
Sijasema unaelewa uchawi Bitoz au sio Kama sijasoma Post ya Utanguliz Na sio kama NilivoQuote hapo Nilikuwa na kuuliza ww.....Kasome post ya utangulizi
Sielezi uchawi wala sijui nini
Kazi yangu ni kuwaletea nchi 10 maarufu zinazoamini katika ushirikina au wananchi wake wanajihusisha nao
Hivyo maswali mengine mtajibiana wenyewe
Kwanza nishaweka msimamo wangu siamini uchawi wala ushirikina na siujui
.......
Sawa lakini wewe kila tukipanga ndo huwa wa kwanza kuharibu ...ya mdogo wake mama Ashura tulikubariana nn
Yaani wewe Obe mtaalam kwelikweli... Yaani akipiga magoti kuokota wewe 'unakaa kipande gani'?......huyo aliyekujibu hivyo ni fundi mtaalamu kabisa, fuata ushauri wake. Kuna tule tudogotudogo kuokota hadi apige magoti. Yaani wewe unabaki kuwa mhamasikaji tu kuhamasisha ni juu yake😀😀
Naomba kama uko na mie Sitakiiii kusikia habari za ma_x wako... Umenielewa????
Ushasahau kuwa yule wa reception bado yupo ?? Utayakorogaa tena.....duh, yaani sijinioge maji gani ndo nisiwe naharibuharibu hivi. Basi tusiende wote kigamboni, tumwambie tukutane mjini pale posta silver spoon
Sitaki popote pale binamu baki na mjomba wako na kina mama ashura.....duh, yaani sijinioge maji gani ndo nisiwe naharibuharibu hivi. Basi tusiende wote kigamboni, tumwambie tukutane mjini pale posta silver spoon
Hivyo hivyo tuChumba sio nyumba
Ha ha ha ha ha ha.. ...wivu huna lakini.. ..Naomba kama uko na mie Sitakiiii kusikia habari za ma_x wako... Umenielewa????
Sawa binamu...yeah, ni chumba sio nyumba. Yaani anadhani mnaweza kupumzika nyumba nzima. Nyie mlipumzika tu kwenye chumba, tena sio chumba ni sehemu tu ya chumba.
Mpumzike chumba kizma mmekuwa tembo?
Ufafanuziii yakinifuu...yeah, ni chumba sio nyumba. Yaani anadhani mnaweza kupumzika nyumba nzima. Nyie mlipumzika tu kwenye chumba, tena sio chumba ni sehemu tu ya chumba.
Mpumzike chumba kizma mmekuwa tembo?
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
Sikia sasa mm sijalala ulivoondoka tulikaa kidogo kwa CM akaanza usumbufu wake ikabidi majogoo nitoroke apa namba yake nimeidaiveetiii kwa ile yako ambayo huitumiii...pale tulikubaliana kuwa usikae sana, lakini wewe kukaa ukaona haitoshi ukaamua kulala kabisa
Nitag plzYaani wewe Obe mtaalam kwelikweli... Yaani akipiga magoti kuokota wewe 'unakaa kipande gani'?...
Upoooo...ila kipindi hicho waganga hao walitikisa,wengi walijisalimisha,kuna wazee wawili mke na mume walikutwa na majembe 1000 na zaidi ,baada ya kunywa dawa ,walipoulizwa yanini wakasema wanalimisha watu usiku ,bibi mngine akalia sana kuna kidoli mfano wa ndege (aeroplane) ilichomwa moto alilia sanaaa kuulizwa why akasema anawaogopa wenzake wakija watamuuliza maana walichanga,shilingi laki saba...alilia mno after one week tulimzikaKwahiyo eneo hilo sasa hivi hakuna tena wachawi?
Ohooo wazee wa kutafsiriTwende kazi mkuu..
Macho yangu
Hicho ndo kinakupa wasi wasi.... Kwamba humjui ninayemfikiria... Unahisi labda nimekaa stand by.... Nasubiri mkono uanguke.. ....ha ha ha ha ha ha ha ha ha... Kuwa na amani Rafiki kipenz.Na mm sina maana hiyoo ...mmfano mm nikienda namfikiria mama D cheupe wangu wewe unamfkiriaga nan