Baba D sijakuelewa kabisa ujue lakini kikubwa upo mzima basi Mengine acha niendelee kumuomba Mungu akubadilishe
Jaman mbona nilikuletaa ukanivalia 4Nataka nijue binamu na me nimvalie baba d ujue labda hivyo cha kwangu kilivyo kitupu bila kitu ndio inasababisha atoke aje hukooo
Acha tu mtoto anakuwa na tumbo kubwa na ugonjwa wake sio wa hospital apelekwe kwa mtaalam anaponywa kwa fagio yale ya zamani au ndula ukimpeleka hospital anaweza kufa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu apia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahh nikiwa tanga nikiwa nje nakula halaf mtu aniangalie sana naondoka me ni muoga
Itakuwa Kuna kitu anakikosa [emoji87] [emoji87] [emoji87]Baba D lazima nikafundishwe huko jinsi ya kuvaa labda utatulia
Jaribu kumoa habari za kanisani kumpimaYelewiiii nina rafiki wa uko yupo tz kufanya research zake mbona waniogopesha
Enzi hizooo!Khaaa kwahiyo hatutakiwi kuogopa jamaan nikienda tanga huwa naogopa zongo [emoji134]
Sawa Baba D msalimie mdogo wake mama ashuraNakupendaaa ila leo ntachelewaa kidogo
Sawa binamu naomba unipeleke kwa mama ashura basi
Nitakunulia paka mweusi[emoji134] [emoji134] aiseee me nilivyo muoga hizi mambo nisikie tu kama hivi
Binamu sikia sasa kwani ulivoniachaa ulienda wapiiUnaona sasa unakoelekea! Mwenzio nilikuwa nimefunga, sasa kufungulia imekuwa kosa! Unataka nifunge na sita wakati sitaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sitaki hizo niletee 700Jaman mbona nilikuletaa ukanivalia 4
Hahahaa...Sawa Baba D msalimie mdogo wake mama ashura
Binamu [emoji3][emoji3]Hata mimi ninamuombea sana abadilishwe awe mpya, asiwe wa zamani yaani aapudetiwe
NmetuliaaaBaba D kufundishwa hayo mambo yanayosababisha usitulie
Aisee Congo ni shida2/DRC
Ni moja kati ya nchi maskini zaidi barani Afrika....ushirikina wao ndio umaskini wao
Wakati wanahangaika kurogani Wazungu wanachota tu madini yao(ni miongoni mwa nchi 5 wazalishaji wakubwa wa almasi duniani)
Hawa jamaa sijui wana tatizo gani maana pia ni matapeli wakubwa Achilia mbali Wanigeria
Laana ya ushirikina inawatafuna
.........
Nafanyaje sasa T mwanaume hafugiki ujueHahahaa...
Eid pili leo kwa mchepuko ! [emoji3][emoji8]
Shanga 700?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sitaki hizo niletee 700