Ni kweli safari ya Kigamboni naitamani japo aunt yako ndo simuelewiiii......anko, sasa hivi nina maelewano mazuri na aunt yangu, usiniharibie. Ujue tutakuwa wageni pale kigamboni hivi punde sitaki aghairishe kisa mambo yako.
Ila tuache utani, lile pilau lilikuwa poa sana, anko ukaomba na mkeka kabisa ikabidi upelekwe nyumba ya wageni kupumzishwa na mdogo wake mama Ashura
Mke mweee umeanza ujue ebu niache kwanzaMshenga wenu ushamgeika tena
Dah aisee...anko, sasa hivi nina maelewano mazuri na aunt yangu, usiniharibie. Ujue tutakuwa wageni pale kigamboni hivi punde sitaki aghairishe kisa mambo yako.
Ila tuache utani, lile pilau lilikuwa poa sana, anko ukaomba na mkeka kabisa ikabidi upelekwe nyumba ya wageni kupumzishwa na mdogo wake mama Ashura
Alichoka sana leoShemela hajaweka stori yetu leo
Eeeh!Siwatafuti maneno kweli na mie nataka anifundushe mambo ya shanga 700
Mtaenda wenyewe kigamboni na mdogo wake mama ashuraNi kweli safari ya Kigamboni naitamani japo aunt yako ndo simuelewiiii...
Ila unajua kutyme binamu make nilijua ndo huji tena make kuku yuke nilijua namfaidii mwenyewe mara hodiii ukatingaaa...
Mdogo wake ana story nzuriii na ni charming wasemavyo wa China ...tuliongea mengi najua ulitamani uyasikie lakin siri yangu
Sasa unataka kuwa mwanafunzi, baadaye uwe mwalimuSiwatafuti maneno kweli na mie nataka anifundushe mambo ya shanga 700
Mdogo wake kweli mama ashura si shemeji yetunyumba ya wageni kaenda kupumzishwa na mdogo wake mama ashura woiiiiii kigamboni siendi nendeni wenyewe
Niko poa kabisa my swiMic u too jamani,unaendleaje lakini
Hakuna namna ingine acha tuendelee kulana tu
Hata sijui shemela nitakuwa nani wanipeleke tu jamaanSasa unataka kuwa mwanafunzi, baadaye uwe mwalimu
Yeye ndio anapenda hilo neno!Maswali mengine bwanaaah
nyumba ya wageni kaenda kupumzishwa na mdogo wake mama ashura woiiiiii kigamboni siendi nendeni wenyewe
Apo ndo unakoseaa ujue binamu anakutegemeaaMtaenda wenyewe kigamboni na mdogo wake mama ashura
Ongezaaa nyagiiiSasa unataka kuwa mwanafunzi, baadaye uwe mwalimu
Sawa baba d ni shemeji yako naona mambo ya manfongo style baba anguMdogo wake kweli mama ashura si shemeji yetu
Hakuna namna T lizoee tuhilo neno la kulana silipendi ujue..