Makapuku Forum

Aiseee
 
Karibu
 
I seee! Hatari...upo mwaka pale KIBAHA..wakati wabutawalabwa Che...Nkapa walikuja watu na barua toka ikulu kuwa watoe wachawi..serikali za mtaa zisimamie..jamani niliona maajabu kwa macho yangu ..walikua da dawa unakunywa na unalipa elfu moja waliokataa wote walikufa..waliokunywa na kurudia wote hawapo,waliokunywa na kuacha uchawi wengi walifilisika hakika haya mambo uyasikie tu...
 
Inaogopesha mama mchuchu
 
 
9/Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na hadi kuitwa sijui member mwenye busara zaidi JF kisa tu anaandika zaidi ushirikina na Hivyo kawa maarufu na kuwateka watu
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina
Fulani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji feki wana nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…