Makapuku Forum

Duh wakongwe mpo
Mimi sina cha kuficha nimejiunga JF na ID hii tu ila wiki wiki 3 kabla nilijiunga kwa ID nyingine nikasahau password ndo ikawa sababu ya kufungua hii yaani mimi ni kapuku haswa tena wa 2015
.......
Mie id ni hii hii, na wakati uzi unaanza nilikuwepo.. Mie sio mtu wa shari kwa hiyo zile page za mwanzoni ukizisoma hata wewe utapata hofu na ndo kilichoniogopesha... Mie nilikuwa nawasoma kila leo ndo maana hiyo siku nikamwagizia Shunie humu...

Nlikuwa naogopa saaana reaction yenu kule mwanzoni kwa kweeli... Hamkuwa kama mlivyo saa hii
 
Uzi mwanzoni ulivamiwa si unajua bendera fuata upepo ndiyo maana wa mwanzoni wengi huwezi kuwaona baada ya uzi kubadilika na kuwa sehemu ya peace
Mi niliamua kuwakatiza kwa kuwaambia waache kulalamika sasa ni mwendo wa kuchat na kupeana maarifa ndo wazee wa shari na wadandia uzi wote wakasepa mmoja baada ya mwingine
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…