Makapuku Forum

Sana yani
halafu mwingine ukimpiga kibuti hapa anakasirika kweli wakati hapa tunaflirt tu
Niliwahi kuumizwa sana na Patience123 na Sumbai utafikiri ni kweli. Nilitokea kumpenda sana utafikiri ipo siku tuta...aliponipiga kibuti na kuchukuliwa na sumbai iliniuma kweli.
Japo kwa sasa tu marafiki ni watu wazuri sana
 
Hahahaha jambilo si ndio huyu jamaa au

Ila mwandiko nao usikudanganye ujue, si umeona ule Uzi kule
Mwandiko unadanganya plus Ids, usiconclude kwa Id wala mwandiko, watu tunaficha mengi sana, naweza kuigiza utaahira flani humu kuwajua matahira, endapo utaingia mkenge kwa hilo, misheni done.
Tumkumbuke mpenzi wa Jimena lkn alivyotuacha wakati tumemwamini sana, tulibaki na maswali. Mtu alikuja na misheni zake, alpoona lengo tayari akang'oa..naweza kuwa siko sahihi kwa hili pia
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…