Makapuku Forum

[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
1/New Year Kila inapofika Januari 1 Wanyaki tunasema TULOBHWIKE tukiwa na maana "tumeuona"
Sherehe za mwaka mpya ndo sherehe # 1 kwa umaarufu duniani ikifuatiwa na Valentine's Day
Tufurahi X 2 kwa mwaka mpya,tunywe soda X 2 kwa mwaka mpya.........na wenzetu X 2 wameshakufa. ....
Pindi ukimaliza mwaka salama na pengine kimajanga una kila sababu ya kumshukuru Mungu maana siyo wote wanaobahatika kuuona mwaka mpya
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
 
Asante kaka Bitoz...
 
Asante sana
 
Wewe hujui kumbembeleza kwani?

Mpigie afu uaze kuimba kuimba nyimbo ya kina Amitah Barchan uone..


Abbib shi-thimatha..... × 2

Abibi shi-thimatha tel mundo....× 2...


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] T niacheeee ujue hivi nikuite naniii vile lile jina la kule mmu kwenye ile thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…