Makapuku Forum

Makapuku Forum

1960 - Madagascar yapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
b869ac976ae15a6547e7ad6c9f8ed6ce.jpg
3f03d48450cf1f73b102d9f748b55309.jpg
d6297364ff2e819f727ec14de39114f8.jpg
Nchi hiyo ina mchanganyiko mkubwa wa watu/rangi/damu
Kuna Austronesian,Bantu,North Indian,Arab na Somali....Lugha kuu ni Malagasy ambayo ni mchanganyiko wa Austronesian language,Kibantu,Kifaransa,Kiingereza,Kiarabu na Kimalaya
......
 
Leo katika Historia:

Segment hii leo inatimiza mwaka mmoja rasmi toka ianzishwe!
Ilianza kama utani utani, ila baada ya kupokea maoni ya wadau hapa ikawa official kila siku ipo pale nipatapo muda na hatimae leo ni mwaka mmoja.

Na hii ndio post ya kwanza ya Segment hii, angalia tarehe na mwaka.


View attachment 530852
Hongera sana mkuu... Mwaka mmoja sio lele mama
Nakumbuka mchawi Jr alianzisha uzi maalumu Ila akafika mahali akasanda.
Hongera sana
 
Kuna mdau alijaribu kuiga na kwenda kuanzisha thread awe anapost lakini akashindwa
Maana kukopi sehemu ni japo moja ila kuandika unachokifahamu ni jambo kingine....akaishia kujikanyagakanyaga tu
Nafikiri unamfahamu
........
Ndio hata mi ndio kitu cha kwanza kukumbuka
Big up mwenyekiti Mussolin5 naheshimu sana kazi yako
 
1908 - Salvador Allende anazaliwa.

Alikuwa ni Rais wa 29 wa Chile.

Alipinduliwa mwaka 1973 na Jenerali Augusto Pinochet katika mapinduzi yaliyofadhiliwa na CIA.
1a71daff87fde9f2232585e466bb5f37.jpg
7a43412bc4784cfb7c4e733e9e58c461.jpg
Alifariki dunia 1973 akiwa na miaka 65
Huo Ndo mwaka pia aliopinduliwa hivyo nafikiri aliuawa au kifo chake kina mkono wa mtu
82cd6843d57b1d84deb1d29fbcd79daf.jpg
434c1b92fbcdc462ffd70dd8940e29f3.jpg
Hao Ndo Wamarekani Wazee wa permanent interests not friends kila vurugu wapo
Mapinduzi ya kumweka kibaraka wao Augustino Pinochet yalifanyika mwaka 1973 yakiongozwa na CIA kupitia kitebgo chao cha weledi
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom