[emoji524] ZABURI 20
1.Mwenyezi MUNGU akujibu uwapo taabuni;jina la MUNGU wa Yakobo likulinde.
2.Akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake;kutegemeze kutoka mlima Siyoni.
3.Azikumbuke sadaka zako zote;azikubali dhabihu zako za kuteketezwa .
4.Akujalie unayotamani moyoni mwako,aifanikishe mipango yako yote .
5.Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako ;tutatatweka bendera tukilitukuza jina la Mungu wetu ,Mwenyezi -Mungu akutimizie maombi yako yote!
[emoji523] MUNGU BABA WA MBINGUNI asante kwa siku ya leo,tunaomba toba kwa yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno,matendo uturehemu twakusihi usiku huu tunajikabidhi mikononi mwako ituzingire,damu takatifu ya Yesu Kristo itufunike na inene mema,malaika walinzi wazunguke nyumba zetu na vitanda vyetu watulinde na kutuangalia usiku kucha watuepushe na mabaya yote,hila na uovu wa shetani,na BABA tunaomba utuamshe asubuhi salama.
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo Amen.
USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno la usiku[emoji524] ZABURI 20

[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu jamaan pedeshee itabidi uongee nae wewe sasa binamu akubali si unamjua mjomba ako kichwa chake bh hana shida nilishamwambia nahitaji kuonana nae inabidi tupange siku binamu kweli ujueNajua aunt na kwa hilo nakupa heshima sana. Naamini katika jokes kama sehemu ya kumaliza siku na kuianza siku. Unajua kabisa nakupenda na siku moja, siku moja, tutaweza kutiana machoni na pedeshee ataangusha moja moja kiutaratibu siku hiyo hakuna makinikia wala majirani zangu wahamiaji haramu.
Utamkaribisha na BH basi😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu jamaan pedeshee itabidi uongee nae wewe sasa binamu akubali si unamjua mjomba ako kichwa chake bh hana shida nilishamwambia nahitaji kuonana nae inabidi tupange siku binamu kweli ujue
Binamu natamani ifike leo hii siku jamaan [emoji120] sema bh yupo kigamboni sijui inabidi tumfate huko tukakutane nae mitaa ya huko si unajua kigamboni kumetulia sehemu nyingi beach nyingiHa hahahhaha, nitaongea naye. Mjomba wangu tunaelewana sana (kwenye mambo ya msingi kama mikutano nk) atakubali. Serious hata mimi nitapanga siku tukutan japo kunywa kahawa na kashata
haaahaa nice night broSawa kaka
Binamu natamani ifike leo hii siku jamaan [emoji120] sema bh yupo kigamboni sijui inabidi tumfate huko tukakutane nae mitaa ya huko si unajua kigamboni kumetulia sehemu nyingi beach nyingi
Binamu jitahidi basi uongee na mjomba ako akubali jamaani
MhKigamboni mbona karibu kabisa, safari ya siku moja tu nimefika! Tunaenda Club kakara au Kishiwani au Mjimwema
HahahaMmmh...sakayo lakini? Lini tena?
OyooMh
Kwani binamu unaishi wapi jamaan
Leo sina usingizi mimi jamaan [emoji134]
Sina usingizi kabisa ujue dadaOyoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Una tabia ya kusepa bila kuaga ujue...
Abee my love
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Baada ya kuona haupo online my love mie niliamua kulala tuuHebu muite dada...
I need to talk to her...! Afu simu ya Halotel sijui kaweka wapi ...haipokelewi
Siku ile mie nilikesha kabisaaSina usingizi kabisa ujue dada
Naona na mie nakesha ebu njo pmSiku ile mie nilikesha kabisaa
HahahaNaona na mie nakesha ebu njo pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Poa Poa
Mh
Kwani binamu unaishi wapi jamaan
Leo sina usingizi mimi jamaan [emoji134]