Makapuku Forum

Pole sana.
 
By the way ten commandments za kapuku forum ni zipi? Unaweza toa lolote la moyoni au? Soon hii forum itahamishiwa daily news ndo hapo mtatafutwa na T what? yule aliyepumzishwa?
Hilo ndiyo jibu.
 
Issue ya msingi ni kuangalia idea Kwanza then ndio tuje kwenye hizo issue za pesa ila huko kwa PESA ndio iwe issue ya mwsho..

What I believe mtaji ni=70% idea+30%pesa
Nakupendaga bure
Ukiona mtu anajadilijadili pesa ujue ana lake......ukishapanga kitu gani kifanyike tunaweza kwenda ht kwa WAZIRI na tukapewa mtaji
Tutumie akili zetu
....................
 
Mie nina idea za kilimo cha Muda mfupi like vitunguu na watermelon... Also I have idea ya ufugaji WA kuku za kisasa hasa WA nyama
Always napenda project za Muda mfupi two months to three months

Project ninayoikubal ya Muda mrefu ni 7 to 10 years ni ya miti ya mbao na poles (mistimu)

So I know Kuna watu watamu WA proposal humu ndani na finance.. We can do something great if we can join together kwauaminifu

Hayo ndio yangu......
Karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…