Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawe ni thimba?!Mtamkomaaa ...Ng'ombe hazeeki maini
Nawe ni thimba?!Mtamkomaaa ...Ng'ombe hazeeki maini
Thanks husna

Huyo ndio alivyoo anapenda kukodoa"kodoooo...."Mbona unatoa macho
Aisee...!!!Ushakuchukua ule mkoba kwanza?![]()
![]()
Ngoja kesho ifike, pilau lipikweHawawezi kuja tena
![]()
![]()
![]()
......
HahahaNi la anko, nilitumia jina lake kukopa. Ila kula alikula yeye
Anasubiria mwalikoHuyo ndio alivyoo anapenda kukodoa"kodoooo...."
Unaona sasa ..??!!Ni Husna wa Obe
Kwangu alikuja kusalimia tu
![]()
![]()
![]()
....
Soka la bongo maigizo km wasanii wa bongo muviAmekuja kupiga hela za bure
Afunge waapiii?! Alikuwa Kobe tuKwani wewe ulikuwa unafunga au?
Ndiyo siku ya 30 hii nimefunga mlango wa stoo
![]()
![]()
![]()
......

HakikaKitu kizuri ni nadra kukuta watu wanagombana humu yaani ni jambo la kushangaza tofauti na thread zingine
Nafikiri tukipanda upendo tunavuna furaha....tukipanda chuki tutavuna mikwaruzano
.......
Ndo utajuaaSikujua kama Okwi ni ng'ombe
![]()
![]()
![]()
.....
Ndio umualike sasaAnasubiria mwaliko
Soka la bongo maigizo km wasanii wa bongo muvi
Kuigizia maghorofani lakini wanaishi vibanda vya mkaa
...

Kesho ikifika itaitwa "leo"Ngoja kesho ifike, pilau lipikwe