Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Bado unasubiri kuona mwezi na tamko la Bakwata ?
Mi nishachinja mbuzi maana "mvua imeandama"
.....

Bado unasubiri kuona mwezi na tamko la Bakwata ?
Mi nishachinja mbuzi maana "mvua imeandama"
.....

ipo hapa Husna, umeona muziki lakini?
Au kwa kuwa mimi mfupi kama mkata maji unasumbuka kuniona?
Hujambo lakini

Mtamkomaaa ...Ng'ombe hazeeki mainiBabu Okwi atua Thimbwa kula pensheni![]()
Cc Thimbwa wote
.....
Sikujua kama Okwi ni ng'ombeMtamkomaaa ...Ng'ombe hazeeki maini
Thanks husnaKesho
Bado unasubiri kuona mwezi na tamko la Bakwata ?
Mi nishachinja mbuzi maana "mvua imeandama"
.....

Mbona unatoa macho
Safi Tu, kwemaPouwa mdau
Naaje
Ni Husna wa ObeHusna wa Bitoz mambo?
Kwani wewe ulikuwa unafunga au?Bado unasubiri kuona mwezi na tamko la Bakwata ?
Mi nishachinja mbuzi maana "mvua imeandama"
.....
Hapana sio mmHivi wewe ndo mwenye Husna the bossy lady ...uzii
Amekuja kupiga hela za bureBabu Okwi atua Thimbwa kula pensheni![]()
Cc Thimbwa wote
.....
Ndiyo siku ya 30 hii nimefunga mlango wa stooKwani wewe ulikuwa unafunga au?