Makapuku Forum

Hata mimi nimeshangaa sana

Tuna kizazi kilichocheza africon miaka ya themanini huko lakini hata mchezaji mmoja wao tu hata jina la mtaa hamna

Kweli hatuthamini vya kwetu
 
Ishu imrfanywa kiutalii zaidi
Atavutia wengine Kuna bongo
Pia huko Ulaya wataandika "Wanyama apewa mtaa bongo"
........
 
MUNGU ATUBARIKI DAIMA......

[emoji524] WARUMI 8

31.Basi tuseme nini juu ya hayo?Mungu akiwapo upande wetu ni nani aliye juu yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…