Sio kukuaibishaYote majina...bhana ! Wacha kuniaibisha..
...ni Kilimanjaro lager ile chupa yenye nyonga.
Wakajua hapa tayari tunamwanafunzi mlipakodi
Nimekuona
Nimeuona mziki uko vizuri
ujue umenichekesha wewe chautundu kweli lionee
...ni Kilimanjaro lager ile chupa yenye nyonga.
Wakajua hapa tayari tunamwanafunzi mlipakodi
Sawa loloo! Ila unashibana nae sana! Ikibidi hata kuwa mchepuko wake kubali bibie!Anaitwa Baba Davie
Sawa loloo! Ila unashibana nae sana! Ikibidi hata kuwa mchepuko wake kubali bibie!
Sweet dreams TWakuu...
Asante sana kwa watu walionipokea Huku makapuku..
I enjoy being with guys...
Nawatakia weekend njema na Eid Njema..
Usiku mwema wakuu.
Deni la anko ulitumia jina lake kukopa au kuna lingine binamu ambacho sijaelewaUmeelewa nini sasa?
Nilitaka maua tu na wala si kingine mpendwa wangu. Unajua mimi na maua kama nyuki na asali
Nilijikinga mvua ndio nikausahau
Deni la anko ulitumia jina lake kukopa au kuna lingine binamu ambacho sijaelewa
Kumbeeeeeeeee!mchepuko na wakati me Mama D wake
Sawa binamu naomba kesho uniwekee eloko oyo ya fally ipupa hata kudhamini nitadhamini binamuEWaaaa, hakuna jingine. Yaani umeelewa kiusahihi kabisa kama mwanafunzi anayekaa kiti cha mbele darasani
AiseeeeKumbeeeeeeeee!, Mkue ktk upendo huohuo milele daima! Hata kifo kisiwatenganishe... hata peponi/ motoni muende pamoja!
Sawa binamu naomba kesho uniwekee eloko oyo ya fally ipupa hata kudhamini nitadhamini binamu
Asante binamu yangu mimi apaIt's a date. Hii nitaipandisha kesho bila kuchelewa. Asante kwa kudhamini
UbarikiweWakuu...
Asante sana kwa watu walionipokea Huku makapuku..
I enjoy being with guys...
Nawatakia weekend njema na Eid Njema..
Usiku mwema wakuu.