Kina chowachekesha non!! Mnajua kulikuw na nn mule?!
Mfyuuuuu......
Long live kf me naweza kuelezea hata nisimalize jamaan tupo humu kama familly wengine hatujuani lakini unaweza jua tunajuana
Kapuku imenikutanisha na kivuruge wangu mimi apa Baba D wangu
Bitoz na wengine mbarikiwe kwa kuanzisha hii kitu, kuna upendo humu sio wa nchi hii nawapenda jamaan
Bila kumsahau mama mchungajiLong live kf me naweza kuelezea hata nisimalize jamaan tupo humu kama familly wengine hatujuani lakini unaweza jua tunajuana
Kapuku imenikutanisha na kivuruge wangu mimi apa Baba D wangu
Bitoz na wengine mbarikiwe kwa kuanzisha hii kitu, kuna upendo humu sio wa nchi hii nawapenda jamaan
Nimekuonaipo hapa Husna, umeona muziki lakini?
Au kwa kuwa mimi mfupi kama mkata maji unasumbuka kuniona?
Hujambo lakini
Ungesema neno tuNimeona shemela nimepita kimya
Sawa binamu nimekuelewaNi la anko, nilitumia jina lake kukopa. Ila kula alikula yeye
Not Doroth banaMwaka uleeeeeeeee unakujaaa kwa mbaaali utasikia akiitwa tena baba Doroth..
MhAcha tuu...
Imebidi ninywe dompo kidogo..
Kitu kizuri ni nadra kukuta watu wanagombana humu yaani ni jambo la kushangaza tofauti na thread zingineLong live kf me naweza kuelezea hata nisimalize jamaan tupo humu kama familly wengine hatujuani lakini unaweza jua tunajuana
Kapuku imenikutanisha na kivuruge wangu mimi apa Baba D wangu
Bitoz na wengine mbarikiwe kwa kuanzisha hii kitu, kuna upendo humu sio wa nchi hii nawapenda jamaan
ChachachachaaaaMishkaki bila chachandu si kama kutafuna sponji! Wewe hupendi chachandu?
UmeelewekaName calling ni kutukanana matusi na lugha nyingine za kukera! Na hasa pale mnapokuwa hamtaniani.
Mfano, mimi hupenda kuandika mhamiaji haramu, kama nitamtaja memba wa hapa kama mhamiaji haramu ilhali inajulikana kabisa hatuna utani wa namna yoyote basi hii ni tusi au lugha ya kukera.
Napenda utanilakini si wa kukwazana na kama hatutaniani basi siwezi kufanya utani wa kukera hata sikumoja. Ikitokea nitaomba radhi
Mama nimemjulisha hapo mwanzo shemelaBila kumsahau mama mchungaji
Shemela sitaki mimiUngesema neno tu
Kweli kabisaKitu kizuri ni nadra kukuta watu wanagombana humu yaani jambo la kushangaza tofauti na thread zingine
Nafikiri tukipanda upendo tunavuna furaha....tukipanda chuki tutavuna mikwaruzano
.......
K ipiii hiyo binamu ebu elezea
Mishkaki bila chachandu si kama kutafuna sponji! Wewe hupendi chachandu?
Yote majina...bhana ! Wacha kuniaibisha..Not Doroth banani Doreen
Nilijikinga mvua ndio nikausahauKwani huo mkoba uliuachajeachaje mpendwa