Cc shunieYaani huyu nilipomwambia nakaa Mtwara basi yeye nanchingwea kuwa karibu na msumbiji basi akajiona mreno kabisa, ana yule kaka yake anajiita figo. haq hahahahahh
Imerudishwa kwa ushawishi mkubwa sana, niliahidi kumnunulia chachandu nyingine
Hahaha usisononeke banaa lakini nakumbuka alisema mwaliko mtapataSawa bhanaaah yote maisha ...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Joti anajua aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wameliamshaa dudee
Hajaweka vyote ndio yuko njiani...kama keshagonga muhuri saini ya nini sasa? aweke tu tarehe
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Lee mchochezi aisee
Kwema tu
Sijamuona mpendwa leo[emoji17]
Baba D[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Ni wewe tu au na wewe wa mtandaonii sio type yakoo ??
Vip mkoba umechukuliwaa ??
Kesho ni idi ya answar suniMimi nilijua ni kesho
Binamu am sorryHa ahahahaha, lo! Kumbe zigo kalirushia kwangu, lol! Muulize kuhusu chipsi na deni waliloacha kwa ba mloka
Si uliniambia asubuhi simu anayo mama ashura baba d jamaanMm apaa ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ushanikaribishaa etii??
mmjNiko hapa friends bar ...njoo unywe bill yakoo lakin
Binamu am sorry
Baba D me sipendi ujueSina maana hiyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine matusi hatuwezii aiiseeeh
[emoji120]Maisha ni kama bahari, inahama, mawimbi, inatulia na mambo mengi mengine, na ndivyo ilivyo safari ya wapendwa, huwa na changamoto nyingi sana na zinahitaji tafakari ya kina sana kuzitatua
Tuwaombee heri kila kitu kitakuwa vizuri kwa wakati mwafaka kabisa
Eti akinyimwa kapuku apewe gunia la chawaKina nani hao [emoji3] [emoji3]
Si uliniambia asubuhi simu anayo mama ashura baba d jamaan
Ni kweli shemela kwa shida na raha lakini sio shida nyingine ajiombeeKwa shida na raha, au umesahau shemela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]Labda tumpe mbuzi wa madenge mmoja ambebeshee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawekaa ukipendacho