Asante sana Obe kwa music [emoji445] bora kabisaMuziki: JNS
Huwa wanasema siku hazilingani, yeah! Yaani ni kama vidole katika kiganja chako. U khali gani siku hii (siku, usisikie tumbo la kujamba nikiandika kuhusu siku, kila mmmoja ana siku yake, ni suala la muda tu). Naimani wikend hii ni njema sana kwako kama ilivyo kwangu.
Makapuku ni kama kokoro, kila siku ninaandika, na kokoro huja na vyote. Litakuletea vya kufurahisha siku yako na kuikarahisha. Yote kwa yote, furaha ya siku yako unaitengeneza mwenyewe, nimeamua kuitengeneza furaha yangu kwa kushare na wewe muziki bila kujali kama nakukwaza au nakwazuka. Ni maisha na tuko hapa kufurahia uwepo wa kila mmoja kwa raha na karaha. Nakufurahia amini hivyo.
Muziki sasa, Peter Andre, naimani unamkumbuka miaka ya 90. Alifanya izuri sana wakati huo muziki wa Dancehal unashika kasi, yaani uko juu na sijui mengi kuhusu yeye ila najua ni mwambaji zaidi ya mpiga vyombo vya muziki.
Burudika na wimbo wake mzuri ambao nimeutoa YouTube nikiamini kabisa utakuwa na wakati mzuri.
JNS- Jumamosi Ni Siku
Daaaah kwa chachanduu apoo umemfikishaaaaa...Yaani huyu nilipomwambia nakaa Mtwara basi yeye nanchingwea kuwa karibu na msumbiji basi akajiona mreno kabisa, ana yule kaka yake anajiita figo. haq hahahahahh
Imerudishwa kwa ushawishi mkubwa sana, niliahidi kumnunulia chachandu nyingine
Mimi nimekukaribisha lakini baba mwenye nyumba hajatia saini yakeSi ushanikaribishaa etii??
Kina nani hao [emoji3] [emoji3]Baba D wasikupe gunila la chawa watakuwasha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeKuna muhamiaji haramu mmoja nilimpa hifadhi na akaichukua kuwa na uhakika wa siku.
Kwani umesikia kuwa iliibiwa au kuporwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Big Announcement!!!!!!
Chief kadhi of kenya,Saudi Arabia, Yemen, Oman, United Arab
Emirates, Kuwait, turkey, Iran, Iraq,
Afghanistan, Indonesia, Malaysia, all the
sheikhs, mawlanas, wahabis, sulafis, aleems
have announced that In Sha Allah tomorrow
will be SUNDAY!
Queen alipotelea wapi kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mimi sijawahi kuwa na mpenzi humu
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Kwa shida na raha, au umesahau shemelaUsiseme hivyo Baba D unaweza kunyimwa kweli kapuku upewe gunia la chawa kazi unipe mimi
Ushawekaa ukipendachoMaisha ni kama bahari, inahama, mawimbi, inatulia na mambo mengi mengine, na ndivyo ilivyo safari ya wapendwa, huwa na changamoto nyingi sana na zinahitaji tafakari ya kina sana kuzitatua
Tuwaombee heri kila kitu kitakuwa vizuri kwa wakati mwafaka kabisa
[emoji473] [emoji473] [emoji473] [emoji473] [emoji473]Baba D ameniambia simu anayo mama ashura mvaa shanga 700
Lee mchochezi aiseeAchana na yule jamaa mtata
......
Asante kwa taarifaBado dear!
Sawa bhanaaah yote maisha ...Mimi nimekukaribisha lakini baba mwenye nyumba hajatia saini yake
WowHa ahahahaha, lo! Kumbe zigo kalirushia kwangu, lol! Muulize kuhusu chipsi na deni waliloacha kwa ba mloka
Ashafunga ndoa na livyQueen alipotelea wapi kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Karibu tenaAsante kwa taarifa
Ukiwa na shemela nakujaNiko hapa friends bar ...njoo unywe bill yakoo lakin
Mimi nimekukaribisha lakini baba mwenye nyumba hajatia saini yake