Makapuku Forum

1963 - Uingereza yaipa Zanzibar mamlaka ya kujiongoza yenyewe.

Lakini waarabu wakaendelea kutawala mpaka pale Januari mwaka 1964 ( miezi 7 ) ambapo Wazanzibar wakafanya Mapinduzi ya kumuondoa Mwarabu chini ya Uongozi wa Field Marshall John Okello.
Bendera za Zanzibar kabla ya Muungano wa kimagumashi na Tanganyika
Okello ni Mjaluo wa Uganda/Kenya licha ya kuongoza mapinduzi historia ya ushiriki wake haisemwi sababu siyo Mzanzibar
Amemsaidia Karume kuonekana shujaa yaani Okello hakuhitaji madaraka .....kisha Karume baada ya kuweka madarakani akamgeuka
.......
 
Hbd Kevin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…