Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Tuko powaa za wewe apoWakuu mko poa
Tuko powaa za wewe apoWakuu mko poa
Nakuonaa mpaka leo umeniachiaa msalaa...hiki kinywaji nachokunywa na muziki unaovurumishwa hapa lazima uongee ung'eng'e, kuna vinywaji huwa havidanganyi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha hahahahhaha! Umekula lakini? Maana leo unahasira na siwezi kukujaji yaweza kuwa ni njaa au uko kwenye siku zako
Haaaaahaaaasijui kwa Kiswahili wanaitwaje, nawajua kwa kilugha changu tunawaita Balabhapu
Utavunjika mbavu aiseeHaaaaahaaaa
Napenda iwe hivyo aisee,Aibu nitaona mimi tetra [emoji85] sitaki iwe hivyo mwezi wa 5 katikati ulikuja bongo naomba isiwe kweli ukakaa week
Asubuhi mchana na jioniWakuu habar? Mko fresh
Njema naona avatar mambo sio mabaya [emoji39] [emoji39] [emoji39]Tuko powaa za wewe apo
AminaAsubuhi mchana na jioni
hivi unasalimia mara ngapiiiiiWakuu habar? Mko fresh
[emoji120] Mungu mkubwa sana aibu ningeona mimiNapenda iwe hivyo aisee,
Ila huyo umdhanie sie mimi
Muziki: Siku Rahisi, Smile.
Ninachoweza kusema ni kimoja tu, kwa wale mnaofanya kazi Mon-Fri hongereni sana na leo ndo mwanzo kabisa wa wikend. Ijumaa tunakutana tena hapa kabla ya kuamua Jmosi na Jpili tutafanya nini. Leo tunaburudika.
Siasa ni maisha, utaikuta kila mahali hata chumbani kuna siasa zake, siasa za chumbani. Wakati mwingine utahitaji kufanya propaganda ili tu siasa za chumbani ziweze kufanikiwa kitandani. Hongera sana kwa mlioweka makochi chumbani, nyie siasa zenu ni za karne ijayo.
Nimekaa tu hapa mtaani karibu na ninapojificha, well, mshahara ndo wiki yake hii na tayari bajeti nishaipiga na nakisi ndo nayoiteketeza muda huu. Karibu ujifiche, kinywaji cha kwanza juu yangu, kinachofuata ni juu yako.
Mara zote nimekuwa nikisema humu, muziki ni furaha, muziki ni upendo, muziki ni siasa, muziki kwa ufupi ni maisha. Muziki ni zaidi ya soka, muziki una lugha yake inayokubalika na masikio ya wenye masikio hata kama hawawezi kuchakata maneno yakaleta maana. Huo ndo muziki, usipatwe na jinamizi.
Tumwangalia Carlos Santana, gwiji wa gitaa la nyuzi sita ambaye huchanganya mapigo ya Ulatin, USA na Africa na hivyo kumfanya kuwa mpiga gitaa maarufu kabisa anayeishi. Alivutiwa sana na upigaji wa mkali BB King. Santana ana tuzo zaidi ya 10 za Grammy pamoja na nyingine nyingi.
Tumwangalie hapa clip ya YouTube akicharaza gitaa lake kwa uzuri kabisa
Nilijua haijaenda nikasalimia mala ya pili ndo imeenda sasa ilivyoenda ndo nipo hapa naisubiria subiria iingie [emoji23][emoji23][emoji23]hivi unasalimia mara ngapiiiii
Mambo ni mazuri sana no stress unaendeleaje lakiniNjema naona avatar mambo sio mabaya [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Asante sana binamu naipenda hiyo nyimbo sababu ya hilo jina
Lini nilikwambia naishi dar mie jamaanShem...
Habari za Dar ?